Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hayo yote 9. Kumi linaloenda kubadili mustakabali wa hii nchi ni jambo linalokuja kutoka huko ICC.Guys,
Hivi mshawai kujiuliza ,Hali ya Tanzania ingekuwaje kama MO29 isingetokea?
Binafsi MO29 imebadili political atmosphere ya Tanzania Kwa Hali ya juu. Kama MO29 isingetokea haya ndo yangekuwa matokeo yake.
1. Samia angekuwa ashaanza ziara za kuwashukuru wapiga kura hewa wake, angekuwa anazunguka na kutupa vijembe Kwa Chadema waliogomea uchaguzi.
2. Samia angekuwa kashasafiri sana nje ya nchi, angekuwa anazurura Europe, America na Asia Kwa kigezo Cha kyfungua nchi, ila kutokana na MO29 ata Kenya hawezi kanyaga, kwenye mikutano ya UN ,world Economic forum huko hatopeleka pua Tena.
3. Kejeri, majigambo, dharau za machawa na wapambe wa Samia, Stivin Wassira, Chalamila,Steve Nyerere wangekuwa wanabwatuka hovyo, ila kutokana na MO29, nyumba ya Wasirra ilipigwa kiberiti, sahivi anaishi kama digidigi, dharau zote kwisha.
4. CHAUMMA wangekuwa wanatamba aswaaa, watu hawajui baada ya MO29, CCM walipanic Hadi kuwasahau kuwapa majimbo vibaka wa CHAUMMA. Mwisho wa siku kina Moza Ally, Catherine Ruge, Susana Kiwanga, Aisha Madoga wamekosa viti maalumu , Hadi sahivi wanaogopa kutoa ata kichwa.
Je Hali ingekuwaje kama MO29 hisingekuwepo?
1..........
Ila MO29 kiliwaka aswaaaa😁😁Hayo yote 9. Kumi linaloenda kubadili mustakabali wa hii nchi ni jambo linalokuja kutoka huko ICC.
Hilo ndo linaenda kuwafundisha watu nini maana ya kuheshimu Katiba, Wananchi na matakwa ya wananchi.
Hilo ndo linaenda kuweka mwisho wa ngebe za ccm za vyombo vya ulinzi na usalama kwa Wananchi. Hilo ndo linaenda kuwafanya wanasiasa na Viongozi kuwaheshimu rasmi Wananchi.
Muliro, Mafwele, CP Awadhi na IGP Wambura ndo mbuzi wa kafara wa Samia.Ila MO29 kiliwaka aswaaaa😁😁
Sahivi kina Muliro wameamua kujificha maofisini, hawataki Tena showoff za media
Mungu sii Athumani wala Mjomba Mchumali.Ashukuriwe kila wakati.Guys,
Hivi mshawai kujiuliza ,Hali ya Tanzania ingekuwaje kama MO29 isingetokea?
Binafsi MO29 imebadili political atmosphere ya Tanzania Kwa Hali ya juu. Kama MO29 isingetokea haya ndo yangekuwa matokeo yake.
1. Samia angekuwa ashaanza ziara za kuwashukuru wapiga kura hewa wake, angekuwa anazunguka na kutupa vijembe Kwa Chadema waliogomea uchaguzi.
2. Samia angekuwa kashasafiri sana nje ya nchi, angekuwa anazurura Europe, America na Asia Kwa kigezo Cha kufungua nchi, ila kutokana na MO29 ata Kenya hawezi kanyaga, kwenye mikutano ya UN ,world Economic forum huko hatopeleka pua Tena.
3. Kejeri, majigambo, dharau za machawa na wapambe wa Samia, Stivin Wassira, Chalamila,Steve Nyerere wangekuwa wanabwatuka hovyo, ila kutokana na MO29, nyumba ya Wasirra ilipigwa kiberiti, sahivi anaishi kama digidigi, dharau zote kwisha.
4. CHAUMMA wangekuwa wanatamba aswaaa, watu hawajui baada ya MO29, CCM walipanic Hadi kuwasahau kuwapa majimbo vibaka wa CHAUMMA. Mwisho wa siku kina Moza Ally, Catherine Ruge, Susana Kiwanga, Aisha Madoga wamekosa viti maalumu , Hadi sahivi wanaogopa kutoa ata kichwa.
Je Hali ingekuwaje kama MO29 hisingekuwepo?
1..........
Hayo yote 9. Kumi linaloenda kubadili mustakabali wa hii nchi ni jambo linalokuja kutoka huko ICC.
Hilo ndo linaenda kuwafundisha watu na hawa wahuni nini maana ya kuheshimu Katiba, Wananchi na matakwa ya wananchi.
Hilo ndo linaenda kuweka mwisho wa ngebe za ccm za vyombo vya ulinzi na usalama kwa Wananchi. Hilo ndo linaenda kuwafanya wanasiasa na Viongozi kuwaheshimu rasmi Wananchi.
Mungu atende hata sasa.Hayo yote 9. Kumi linaloenda kubadili mustakabali wa hii nchi ni jambo linalokuja kutoka huko ICC.