Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mbona kama unataka kumfanyia jamaa "Character assassination". Kwani nyie wenye majina bandia ndio peke yenu mnaruhusiwa kuwa watupu?Ni aibu kuwa na verified id alafu unakuwa mtupu kiasi hiki.
Na hivi sasa tangu wiki hii imeanza basi zote zile ndefu (kumbakumba) wamezitoa kwenye huduma yaani zime_park. Sister mmoja hapa kwenye foleni ya kuingia kituoni ameniambia wameamua kuzisimamisha kwa kuwa zinakula sana mafuta kulinganisha na zile ndogo wakati idadi ya abiria waliokaa inayobeba ni ndogo aka karibia sawa na zile basi ndogo.hapo sawa mkuu nawaona hata mm lile tabasamu la kufanya kazi hawana kama mwanzo kila kitu automatic mpaka ticket sa hizi wanaona hata aibu
Sent using Jamii Forums mobile app