Hali ya uchumi katika nchi ya kusadikika

CHAMA CHAMA

Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
77
Reaction score
58
Kwa welewa wangu mdogo katika kile ninachokifahafu, Chombo kimojawapo cha kuendesha uchumi wowote duniani ni the use of Budgets. Nitaongelea aina tatu za Budget na madhara yake.
1. Surplus Budget
2. Deficity Budget
3 Balanced Budget.

Surplus Budget - Hii ni aina ya bajeti ambayo serikali inakuja nayo endapo uchumi umekuwa mkubwa sana na pesa zipo kwa wingi sana sokoni( kwa kiluga tunasema when the economy is at Boom stage). Katika stage hii kunakuwa kuna ajira za kutosha, vitu vinapanda sana bei n.k.

Serikali inachokifanya ni kuzipunguza pesa sokoni kwa kuunda mikakati kadha wa kadha mojawapo ikiwa ni kukusanya kodi kwa kasi na hata kuongeza baadhi ya kodi. Hivyo serikali haijihusishi kwene mambo yeyote yale ya uwekezaji kwene mambo ya maendeleo.

Hii huendelea hadi pale uchumi utakapoanza kwenda kwene declining stage. Serikali inapojisahau sana kwene hii stage matokeo yake ni uchumi kuwa mgumu sana ( unakwenda kwene declining stage). Kama ambavyo ilivyofanyika kwene nchi ya kusadikika.

Deficity Budget- Hii ni aina ya bajeti ambayo serikali inakuja nayo pale ambapo uchumi upo chini sana na umekuwa mgumu ( kwa kiluga ni Declining stage). Katika declining stage watu wengi wanakuwa hawana ajira, pesa inakuwa ngumu sana, maisha yanakuwa magumu sana, biashara nyingi zinafungwa. n.k.

Hivyo serikali inakuja na Deficity budget, Lengo ikiwa ni kurudisha hali ya uchumi irudi kuwa nzuri na itapita katika stage ya recovery kwenda kwenye Boom stage. Kutimiza hili, serikali inakuja na mbinu mbalimbali, ikiwemo kulegeza kodi, kutumia sana fedha hasa zaidi kwene miradi ya maendeleo n.k ili kuzirudisha pesa sokoni na uchumi urudi katika hali nzuri. Serikali inapojisahau na kupitiliza sana husababisha inflation effects kwakuwa pesa zitazidi sana sokoni.n.k

Balanced badget- Hii ni aina ya Bajet ambayo ipo kati ya Deficity na Surplus. Kwa maana nyingine ni kuwa bajeti hii inabalance pande zote, serikali inatumia mbinu ambazo zinaangalia pande zote. Mfano. Ukusanyaji wa kofi unakuwa wa kawaida, serikali inawekeza kwene maendeleo kwa namna ambayo haitaathiri hali ya uchumi either kuwa na hela nyingi sana sokoni au kutokuwa na hela kabisa.

Ila Balanced budget mara nyingi waga ni ya kusadikika ( Unrealistic). Kina some of the factors ambazo ni ngumu kuwa controlled na serikali hivyo zinaathiri uchumi.

Dhumuni kubwa ya hizi bajets ni kuweka uchumi at stable position. Na ni moja ya njia ya monetary contral. Kikubwa ni kulinda maslahi ya taifa na wananchi.

Bajeti hizi zinakuwa kwene mzunguko continuously, zinaposimama kwa muda mrefu sehemu moja inaleta madhara makubwa na hivyo lolote laweza tokea.

Nchi ya kusadikika, imejisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…