Hali ya uchumi wa wakenya yazidi kusikitisha, wananchi nao wafilisiwa kwa Madeni.

Hali ya uchumi wa wakenya yazidi kusikitisha, wananchi nao wafilisiwa kwa Madeni.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Kwakweli hali ya uchumi wa wakenya inaendelea kuwa mbaya siku hadi siku. Kama ilivyo serikali ya Kenya kukopa na kushindwa kulipa Madeni, wananchi wa Kenya hali ni mbaya zaidi, wengi wanashindwa kulipa mikopo hivyo kufilisiwa na Benki.
 
Tihihihihi...Yeye haoni hiyo kabisa
Bado ninarudia, akili za wakenya ni ndogo sana hamuwezi kutuelewa, serikali ililazimika kuzinunua korosho toka kwa wakulima ili wasilanguliwe, ulipaji umekamilika, hakuna hata mkulima mmoja anayedai. Ninyi huko kwenu wakulima wansshindwa kurudisha mikopo kutokana na kushindwa kuuza mazao yao kutokana na bei ndogo wanayopewa na walanguzi, serikali yenu haisaidii lolote, badala yake Rutto na genge lake wanazidi kuwakandamiza. Failed state ninyi.
 
POLENI SANA WATANZANIA
Cc: Msangarufu

Msangarufu
JF-Expert Member
New
Add bookmark
#1
Heri ya Jumatatu wana JF
Naona wimbi la umasikini linazidi kuwakumba watz walio wengi
Omba omba wapo wengi sana mitaani kuliko kipindi cha nyuma na sidhani kama tatizo kuu ni kutokufanya kazi
Naona maendeleo ya vitu badala ya watu yanatuumiza sana.
Watz wengi wanadanganywa na maneno matamu ya siasa wanakesha kusifia viongozi na siasa mbovu inasikitisha sana.
Watz waliowengi wanashindwa kupata elimu japo tumeambiwa ni bure, mwanafunzi hata nauli ya kwenda shule ni shida, wanaishia mtaani tuu.
Hizi siasa zinamaliza watu sana
Maendelea ya vitu ni makubwa lakini maendeleo ya watu ni finyu..
Tunaelekea kubaya (wrong truck)
By
Maoni yangu Mimi
 
hivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
 
Hahahaha, faida ya uchumi ni ipi kama watoto wako wanakufa kwa njaa?
 
Uchumi upi huo [emoji23][emoji23][emoji23] huo wa kwenye makaratasi au.
Alafu wangekuwa hardworking nchi yao isingekuwa na njaa.
hivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
 
hivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
Uchumi wakenya ni wa watu wachache sana wengine wanaishi kama mazombi bora tz ,ila inategemea na uwezo wako wa kiakili kunielewa wewe unajua karibu wakenya wote nairobi wanaishi kwa slum na wachache wamepanga wenye nyembazao binafsi au za familia ni wachache sana
 
Bado hatujalipwa za Koroshow, Mafao ya wazee waliokuwa wafanyakazi wa umma bado hawajapata. Tuna shida mingi hapa Tanzania hata kuliko ya Kenya.
Inaezekana umekaririshwa hata shamba la Korosho huna sio lazima uchangie kila mada wakati mwingine kunyamaza ni busara zaid
 
Back
Top Bottom