joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Bado hatujalipwa za Koroshow, Mafao ya wazee waliokuwa wafanyakazi wa umma bado hawajapata. Tuna shida mingi hapa Tanzania hata kuliko ya Kenya.
Bado ninarudia, akili za wakenya ni ndogo sana hamuwezi kutuelewa, serikali ililazimika kuzinunua korosho toka kwa wakulima ili wasilanguliwe, ulipaji umekamilika, hakuna hata mkulima mmoja anayedai. Ninyi huko kwenu wakulima wansshindwa kurudisha mikopo kutokana na kushindwa kuuza mazao yao kutokana na bei ndogo wanayopewa na walanguzi, serikali yenu haisaidii lolote, badala yake Rutto na genge lake wanazidi kuwakandamiza. Failed state ninyi.Tihihihihi...Yeye haoni hiyo kabisa
Hahahaha, faida ya uchumi ni ipi kama watoto wako wanakufa kwa njaa?hivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
hivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
Uchumi wakenya ni wa watu wachache sana wengine wanaishi kama mazombi bora tz ,ila inategemea na uwezo wako wa kiakili kunielewa wewe unajua karibu wakenya wote nairobi wanaishi kwa slum na wachache wamepanga wenye nyembazao binafsi au za familia ni wachache sanahivi wabongo mnajisikiaga raha gani kuwaponda wakenya kila mara?,kiuchumi wakenya wanatuzidi hilo liko wazi,kujaribu kujipa matumaini kwa post kama hii ni kupoteza mda tu,hawa jamaa ni hard worker na wako smart kutuzidi,
Inaezekana umekaririshwa hata shamba la Korosho huna sio lazima uchangie kila mada wakati mwingine kunyamaza ni busara zaidBado hatujalipwa za Koroshow, Mafao ya wazee waliokuwa wafanyakazi wa umma bado hawajapata. Tuna shida mingi hapa Tanzania hata kuliko ya Kenya.