Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,733
Dawa ni kuto mpa kura,wamuulize aliyo ahidi 2005 kwanza
======Kikwete aliyoahidi 2005 ameyatekeleza kwa zaidi ya asilmia 80, ndiyo maana wananchi waliowengi wameridhika na hawamuulizi alioyoahidi 2005
Kikwete aliyoahidi 2005 ameyatekeleza kwa zaidi ya asilmia 80, ndiyo maana wananchi waliowengi wameridhika na hawamuulizi alioyoahidi 2005
Kikwete aliyoahidi 2005 ameyatekeleza kwa zaidi ya asilmia 80, ndiyo maana wananchi waliowengi wameridhika na hawamuulizi alioyoahidi 2005
Wana Jamvi
Ugonjwa unaomsumbua Rais Kikwete uitwao "AHADIsm" umeendelea kusambaa kwa kasi na hali yake sasa ni mbaya. Wasaidizi wake wanaofuatana naye katika safari za Kampeini wameniambia, hawawezi kutunza kumbukumbu za ahadi zake na idadi yake. Katika mikoa ya Kigoma, ameahidi yafuatayo:
-Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kigoma
-Hospitali ya Rufaa Kigoma
-Hospitali ya kutibu figo Kigoma
-Meli mpya ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa
-Daraja la mto Malagarasi
-Barabara ya lami kutoka Tabora hadi Kigoma
-Hospitali ya Wilaya Ujiji
Jamani mwenye dawa asaidie
-
Kikwete aliyoahidi 2005 ameyatekeleza kwa zaidi ya asilmia 80, ndiyo maana wananchi waliowengi wameridhika na hawamuulizi alioyoahidi 2005
Baija Bolobi, nadhani is too early to start judging now we could be fare to judge this after 5 years if elected. Tutoe hoja zinazo onyesha tuko matured.
Kikwete aliyoahidi 2005 ameyatekeleza kwa zaidi ya asilmia 80, ndiyo maana wananchi waliowengi wameridhika na hawamuulizi alioyoahidi 2005
Taja hata tano alizoahidi ambazo leo zimekamilika. Usieleze miradi aliyoanzisha mkapa kama barabara ya kibiti -lindi au dodoma -mwanza kupitia singida, national stadium
Kwani Mkapa ni CHADEMA?? Kikwete/Mkapa au yoyote wanaongozwa na Ilani ya CCM, so usiseme ahadi za Kikwete bali ni ahadi za CCM. Hizo ndoto zenu na huyo jamaa yenu aliyefukuzwa kanisani zitayayuka baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa