Naomba niende moja kwa zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa takriban mwaka mmoja ss, kwa kipindi kirefu tuko mbali kwan mm nipo dar na yeye ni mwanafunzi mkoani kilimanjaro.
Kwa sasa Yupo likizo dar,juzi tulipata wasaa panapo 6x6.baada ya kuduu ikajitokeza hali yakupotea uteute na kukauka kbsa kbsa mara mbili nyakati tofauti.naomba kujua je nikweli nlimfikisha?,mpenzi wangu anatatizo?au nilikosea kumuandaa?
Wadau naomba uzoefu wenu kwenye hili tafadhali
Naomba niende moja kwa
zote kwenye mada husika.mimi ni me nina mpenzi wangu tupo kwenye
mahusiano kwa takriban mwaka mmoja ss, kwa kipindi kirefu tuko mbali
kwan mm nipo dar na yeye ni mwanafunzi mkoani kilimanjaro.
Kwa sasa Yupo likizo dar,juzi tulipata wasaa panapo 6x6.baada ya kuduu
ikajitokeza hali yakupotea uteute na kukauka kbsa kbsa mara mbili
nyakati tofauti.naomba kujua je nikweli nlimfikisha?,mpenzi wangu
anatatizo?au nilikosea kumuandaa?
Wadau naomba uzoefu wenu kwenye hili tafadhali
naskia kuna watu by nature ni wakavu hata umuandaeeje. afu mtu kila siku ugari utegemee awe na maji? subutu