General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,287
- 2,663
ULIWAHI JIULIZA KUHUSU JULIUS NYERERE BWAWA LA UMEMETanesco hawajali maumivu ya mteja. Kila kukicha wanazidi kutuungishia vifaa vyetu na hawaoni kama ni tatizo.
Pia wewe kwao si kama mteja pekee...ULIWAHI JIULIZA KUHUSU JULIUS NYERERE BWAWA LA UMEME
ASANTE SANA NDUGU YANGUPoleni sana kwa kadhia hiyo
Labda wako katika hatua ya kuchanneli upya mifumo ya umeme. Tuwape mudaASANTE SANA NDUGU YANGU
KWELI UMEME BADO SHIDA SANA...!!?
MBALI NA BWAWA LETU KUFANYA KAZI
HUU NI MWAKA WA 10 NGERENGERE MOROGORO haijawahi tokea umeme ukawaka siku saba mfululizo masaa 24.Labda wako katika hatua ya kuchanneli upya mifumo ya umeme. Tuwape muda
Huku Bado mpaka Sasa hivi hakuna umemeUku nilipo umerud saa 11 jion
Umeme wa maudhi san
Habari ndugu mteja, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tupatie taarifa zifuatazo kwa msaada zaidi,Huku kwetu NGERNGER MOROGORO BADO TUNA TESEKA SANA NA TATIZO LA UMEME BILA TAARIFA WALA MAELEZO YOYOTE.
BADO TUNAISHI GIZANI KAMA ZAMA ZA MAWE.
MAREKEBISHO NI JIBU FUPI TANESCO NDILO WANALO JIBU.
HAWANA MUDA WALA SAA MAALUMU NA BILA KUJALI WAO WANA SITISHA HUDUMA VILE WAONAVYO.
Serekali ya mtaa/kijiji wao wamefuatilia,H
HUU NI MWAKA WA 10 NGERENGERE MOROGORO haijawahi tokea umeme ukawaka siku saba mfululizo masaa 24.
Wao watakujibu tunarekebisha mitambo na tunakata Umeme
Kuna sehemu Tanzania hii umeme masaa 24 siku saba za wiki?H
HUU NI MWAKA WA 10 NGERENGERE MOROGORO haijawahi tokea umeme ukawaka siku saba mfululizo masaa 24.
Wao watakujibu tunarekebisha mitambo na tunakata Umeme
UpangaKuna sehemu Tanzania hii umeme masaa 24 siku saba za wiki?