Hali ya umeme yawa ya matumaini baada ya juhudi za Serikali pamoja na mvua kuanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini

Huu ni upotoshaji, wewe inamaana ndio mjuzi kuliko Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Tanesco ? hukumsikiliza alichokisema ?
 
Mwenye u.eme juzi kaja kutuambia hiyo mvua maji hayaingii kwenye mabwawa sasa sijui wewe umekula maharage ya wapi
 
Hata wewe ni chawa wa Putin, unaandika upumbavu mwingi jukwaa la kimataifa.
Huna moral authority ya kuzungumza haya.
Ifike stage machawa kama hawa tuwe tunawabonda na mawe mpaka wafe. Mtu akishiba wali maharage anakuja kuandika upumbavu.
 
Umeme huku toka asubuhi hatuna acha unafiki. We unaonekana upo tayari kwa lolote ilimradi tu wakutafute ndio maana umeacha namba ya simu angalia usijiuze tu mwaka mgumu huu anyway mwili wako fanya utakavyo.
 
Siku mbili mfululizo watu hatujapata hata tone la mgao wa umeme, Siku ya tatu wanarudisha mishale ya saa 5 asbh, saa tisa wanauchukua , tunalala giza , Siku ya nne tunapigwa dry siku nzima, leo siku ya tano hakuna umeme, arafu wewe na bichwa lako liliojaa maji ( hydrocephalus) unasifia upumbavu!?

Kama umetumwa mwambie kichwa maji mwenzio teuzi hazitafutwi hivyo, fanya kazi, acheni unazi wa kipumbavu, zama za kusifu na kuabudu ili upate cheo zimepitwa na wakati!

Makamba hii wizara inshamshinda muda mrefu na kama kakutuma kutuhadaa mwambie sisi sio mbumbumbu!
 
Mwenye u.eme juzi kaja kutuambia hiyo mvua maji hayaingii kwenye mabwawa sasa sijui wewe umekula maharage ya wapi
Mvua inanyesha kwa wingi na hayo mabwawa yatapokea maji. Upo wapi ambako mvua bado kuanza kunyesha
 
Mh Waziri January Makamba kazi I ayoifanya Ni kubwa Sana vinginevyo kwa ukame mkubwa uliokuwa umetokea hapa nchini hakika Hali ingekuwa mbaya zaidi Kama serikali yetu isingechukua hatua za makusudi kukabiliana na changamoto hii ya ukame iliyopelekea kupungua kwa kina Cha maji katika mabwawa yetu ya kuzalisha umeme. Tuache chuki binafsi kwa mh Makamba,Tusifundishwe kumchukia mtu pasipo sababu kwa maslahi ya watu fulani,tusipewe maadui wa kuwachukia bila sababu, wala kutengenezewa maadui wa kuwachukia na kuwachafua mitandaoni muda wote,Tumpe ushirikiano wakutosha mh Waziri na Wizara yake pamoja na serikali yetu yote kwa ujumla wake
 
Umeme huku toka asubuhi hatuna acha unafiki. We unaonekana upo tayari kwa lolote ilimradi tu wakutafute ndio maana umeacha namba ya simu angalia usijiuze tu mwaka mgumu huu anyway mwili wako fanya utakavyo.
Lazima ukubali kuwa Hali ya Umeme kwa Sasa Ni ya Matumaini Sana ukilinganisha na awali
 
Matumaini ya mku*$€¥

Umeme kwasasa unakatika masaa 20 alafu kenge moja saka uteuzi inasimama inaongea mashudu.

NB:
Nasikitika kukutaarifu kwamba nafasi za uteuzi kwasasa hazipatikani.
 
Pole mkuu hata hivyo Hali kwa Sasa Ni ya Matumaini na faraja ukilinganisha na awali ,mgao siyo mjali Sana na naamini halini akwenda kuwa njema Sana siku chache zijazo kutokana na uwingi wa mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali
Kwa hiyo mvua kunyesha nayo ni sifa wapewe serikari?
Tuwe basi tunatumia akili vizuri.
Na uvumilivu sio sifa nzuri bali ni shida.
 
Matumaini ya mku*$€¥

Umeme kwasasa unakatika masaa 20 alafu kenge moja saka uteuzi inasimama inaongea mashudu.

NB:
Nasikitika kukutaarifu kwamba nafasi za uteuzi kwasasa hazipatikani.
Unaheshima na kuheshimika hapa jukwaani hivyo hata maandishi yako yanapaswa kuakisi na kuwa katika mkondo huo,haupaswi kuwa na akili za kibavicha na kuandika vimaneno Kama mtu aliyezidiwa na vimiminika vikali vya kilevi kichwani
 
Kwa hiyo mvua kunyesha nayo ni sifa wapewe serikari?
Tuwe basi tunatumia akili vizuri.
Na uvumilivu sio sifa nzuri bali ni shida.
Kabla ya mvua kuanza kunyesha Tuliona juhudi za serikali yetu Katika kukabiliana na changamoto hii ya umeme uliokuwa umesababishwa na ukame mkubwa uliyoikumba nchi yetu
 
Watu huwa wanalalamika Tu ni kawaida Yaani ningejua raisi mwanamke anaweza kuongoza vizur ivi nisingekaa nichague mwanaume hata siku moja natamani aongezewe mihula kama miwili
 
Huteuliwi ng'o !!!! Teuzi za kimalayamalaya hazipo tena awamu hii
 
Swal
Kabla ya mvua kuanza kunyesha Tuliona juhudi za serikali yetu Katika kukabiliana na changamoto hii ya umeme uliokuwa umesababishwa na ukame mkubwa uliyoikumba nchi yetu
Swala la umeme kwa tanzania sio la kutoa sifa kwa serikari hata kidogo tangu enzi za akina Karamagi Msabaha na Ngereja tunaumizwa na bei za umeme na migao ya umeme wakati kuna watu wananufaika na huo umeme kwa kuiba mabilion na tunajua bado tuwashukuru kwa kipi?

Kama unataka kuwapa sifa hao uingie inbox kwao ila hapa unakosea watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…