Hali ya Usalama Wilayani Temeke si nzuri

...........mtanikumbuka, tena kwa mema ......

Ilisikika sauti ya mwanaume mmoja. Kwa sasa hayupo duniani. Tupambane na hali zetu.
 
Mitandaoni kutwa kucha,alizoea Kisarawe ambako hakuna wanaume katili
 
Mnawafukuza machinga mtaani mnataka wakale wapi? tutabanana wote hapa hapa
Hoja ya kitoto hii. Kama issue ni wamachinga mbona waliokuwa mitaani pale kongo st. Kila siku watu waliambiwa?????
Tuache visingizio jeshi la polisi libebe lawama kwa kuendelea kuchukua rushwa( tuliambiwa za kiwi)
Sitasahau jinsi nilivyoshuhudia mama mmoja alipora kila kitu alfajir wakati akienda sokoni.
Unaikumbuka sauti yake masikioni kwangu kila nikipata eneo lile
Pole sana mama
 
Ulishindwaje kumsaidia huyo mama?
 
Hatujaona picha ulizosema (tazama picha)
 
HALI YA USALAMA TEMEKE NI MBAYA! DC Jokate Mwegelo,

Salam,

Nakuandikia kwa dhamana yako kama Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Temeke. Awali ya yote pole kwa majukumu ya kuwatumikia wananchi.
Huyu DC yuko busy Facebook na mikopo atakuelewa hapa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…