Nitashiriki kama mpiga kura na mgombea binafsi.Ikiwa sheria itanilazimisha kujiunga na chama nitasusia kupiga kura na kugombea.Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?
Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?
Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?
Tukumbuke serikali ya mitaa ndio serikali iliyo karibu yetu zaidi na inayopaswa kuwa msikilizaji kero na mdau namba moja wa maendeleo. Sio tu kwenda kupewa barua ya utambulisho.
Iundwe tume huru. Hii ya sasa inazinguaKushiriki uchaguzi kwa tume hii na katiba hii ni zaidi ya upumbavu.