Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?