Sio yeye... Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaJana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?
Mimi nimeanza kuamini ninayoambiwa Msikitini. Uongozi ... Mwanamke.....!
Lini utajua kuwa ni 'dharura' na wala si dharula? Aaah, basi rudi Shule kama haikukutoska.Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?
Ipo hivi Unaweza Fikiria sie kumbe Kuna watu wana Black Book ya Muhusika na wewe uijui na wala ujaisikia. Wnagapi hapa JF wanalalamika wameoa kumbe mke tayari ana watoto! Au tayari ana ndoa! Kanisa Katoliki kabla ya Ndoa wanatangaza mara 3! Na ata kabla ya Padre ajawafungisha Ndoa anatoa last time - Mwenye kujua sababu ya kizuizi cha ndoa hii ajitokeze......Lakini baada ya miaka inakuja julikana mmoja wa wanandoa ana ndoa 10 yrs back🙁Mama Etu Samia ni Binadamu na Mbali ya kuwahudumia watanzania millioni 60+ Bado ni mama na ni mke wa Mtu hivyo ana majukumu kama mama angu au mama ako kwa baba ako na baba angu na familia Ndugu na wazazi upande wa mumewe na kwake! Na pia ikumbukwe yeye ni Binadamu kama mimi na wewe sote tuna 24 hrs! Na tunatumia Oxygen! TUMPONGEZE NA TUMWOMBEEE KWA MWENYEZI MUNGU NA UKIWA NA NAFASI TUMSAIDIE! Iwapo unamsaidia Mwenyezi Mungu kulisha Maskini na mayatima kwa sadaka na mengineyo! Basi ukiweza msaidie mama yetu Kipenzi aweze kuwafikia watanzia wote na Pia Tumsalie siku zoteMwenyezi Mungu amjalie awe kiongozi Bora, Amjalie hekima kama ya Nabii Suleiman na pia amjalie PEPO YEYE NA FAMILIA YAKE MPAKA KIZAZI CHAKE CHA 18.Tuwe wakweli anafanya kazi na ana mzigo mkubwa ! NAMWOMBE KAMA MIMI KATIKA SALA ZANGU ZA KILA SIKU 1.aongoze vyema 2. Awe mwenye kufuata sheria na haki 3. Ajaliwe busara na Tunzo Kama kiongozi na mama hapa Duniani na akhera!Kumbuka kwako na kwangu yeye ni Rais- ila kuna mtu anamwita Mama na kuna mwingine anamwita my sweet wife na wengine dada, mkwe n.k . Tumsaidie na tumwombee🙏🏽Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?
Niko pembeni nafuatilia na kujifunza JF. Mbona wewe unaona maneno yasiyokuwepo? Au umejitungia makosa na kuyakosoa.Lini utajua kuwa ni 'dharura' na wala si dharula? Aaah, basi rudi Shule kama haikukutoska.
Hapana Pascal! Ukianza kumsamehe kwa kusema siyo Malaika. Mi nitakwambia hata Ndugai siyo Malaika, Hando siyo Malaika, Diwani siyo Malaika na baadaye sote ni nchi na utawala wa mashetani.
Duh! JF aisee!Hapana Pascal! Ukianza kumsamehe kwa kusema siyo Malaika. Mi nitakwambia hata Ndugai siyo Malaika, Hando siyo Malaika, Diwani siyo Malaika na baadaye sote ni nchi na utawala wa mashetani.
Hapana unamuonea.Kusiluka anaweza sana hivyo uwezo wake ndio umembeba.Rais sio mkabila jmn mkoje!Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?
JF nomaaa!Duh! JF aisee!
Kwahiyo Samia kwao Makambako, Njombe au Dr.Kusilika kwao Makunduchi?Jana tu kuna teuzi zimefanyika na leo naona uteuzi wa Diwani unafutwa na kuweka mwingine. Mara ya kwanza tuliona akina Bashiru wakiondolewa na kuwekwa wengine, jana hawapo tena ni wengine tena. Yaani teuzi kama abiria wa daladala! Kupanda kushuka, na kusukumwa pembeni.
Tatizo ni uimara wa mifumo ya uchunguzi au ni akili ya anayeteua? Kwa mbali naona kuendeshwa. Huyo aliyewekwa kama katibu Mkuu Kiongozi, Kusiluka kashikwa mkono kikabila. Namkumbuka Luhanjo na ukabila wake ambaye na huyu ni kabila moja. Mteuaji wetu ni muulizaji kwa rafiki wa Luhanjo, Jamani eeeh! Tutafika kweli?
"NGO" Nimeweka mstari neno NGO!Samia ni kilaza,haelewi mambo,yeye anachojua ni kuteua tu,kama vile unaajili shamba boy!haelewi impact ya teuzi zake,nchi anaiona kama NGO