Hali ya Uwanja wa B.Mkapa baada ya kutumiwa na CCM

Ila kweli walishidwa kufikilia na kutafuta sehemu nyingine ila watanzania wanafki kweli Leo hata waandishi uchwara wameshidwa kuandika wala kukemea ingekuwa fiesta sasa ifike kipindi wanamichezo tuheshimie
 
Sasa hivi kila mtu ni mwoga.Ukisikika au kuonekana unakosoa chama na serikali km ni redio,tv au gazeti lako linafungiwa. Ni ubabe wa kijinga wa baba kujisifu kwa kumpiga mtoto wake. Si shangai kwanini vyombo vyote vya habari vipo kimya. Wanaoweza kuripoti ni BBC na DW basi.! Hii ndo Tanzania tuliyoamua kuitengeneza.
 
Hata Mobutu alikua hivyohivyo lakini mwisho wake hakuzikwa Zaire
 
Hii kazi ya meneja wa wasanii kumbe Magufuli anaiweza kuliko Babu Tale na Mkubwa Fela. Katika siku chache hizi amehakikisha wanamziki wote waliojiandikisha kwenye management yake wamezunguka Tanzania
Haaaaaaaaaaaaaaaa,sikua na furaha ila nimeipatia kwenye comment hii.

TumuanZishie lable huenda akaupeleka mziki wetu abroad kwenye "people's are used to die in lakes"
 
Haaaaaaaaaaaaaaaa,sikua na furaha ila nimeipatia kwenye comment hii.

TumuanZishie lable huenda akaupeleka mziki wetu abroad kwenye "people's are used to die in lakes"
Aaafu kesho utawaona bungeni wanajadili eti nini kinashusha michezo nchini![emoji3064][emoji3064] CCM aliewaroga alishakufa
 
Wenye husda mmeanzisha threads nyingi juu ya uwanja wa Mkapa,roho zinawauma mpaka basi.
 
Waandikiwe invoice tu kwa ajili ya matengenezo na matengenezo hayo (gharama zitoke kwenye mishahara / kipato cha hao) sio kuchota kutoka serikalini (kodi za wananchi wote..., hata hao waliotumia uwanja huo kuwakebehi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…