Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kama mnavyojua tumetoka kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa tunauchungulia Uchaguzi Mkuu pale Oktoba 2025. Tumeshuhudia karibia na uchaguzi wa serikali hali ya media ilivyokuwa, Mwananchi walishika 'sharubu' wakapumzishwa kwa mwezi wale urojo kidogo, jambo nao walikuwa wakijifanya 'kimbelembele' kuhoji kila kitu, wakalimwa barua.
Tuliona Mkurugenzi wa Dar 24 ikiwa ni moja ya tukio lilihohusisha mtu wa media halafu tukaambiwa ni mambo ya biashara na watu anawajua halafu jambo likaishia juu juu, hatukuona connection yoyote ikihusika na kazi yake. Za chini chini ni kuwa jamaa alikuwa anafanya kazi na CHADEMA, pesa zao kutoka nje zilikuwa zinapita kwa jamaa ndio wanazipokea. Sijui kama ni kweli ila habari ni hiyo, kwa namna fulani ina make sense maana suala la biashara ilikuwa kama ni janja janja ya kutotuambia ukweli.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ila pia tuliona uchawa mkubwa kwa vyombo vya habari kuegemea upande mmoja, kupendelea kurusha habari za CCM zaidi huku CHADEMA wakipata coverage kidogo, wizi wa kura ukiripotiwa zaidi na wananchi pamoja na online media na si vyombo vya habari kama TBC and the like.
Tutarajie nini sasa uchaguzi mkuu ukiwa unanukia?
Matukio ya vyombo vya habari kuelekea 2025
2024
JANUARI

- Waandishi wawili wa Jambo Tv wakamatwa na Polisi Mbeya akiwa kwenye majukumu yao ya kikazi
- Wajibu Wa Vyombo vya Habari katika Uchaguzi
- Waandishi 2 kutoka Mwananchi Communications na 1 wa EATV wakamatwa na Jeshi la Polisi
- Mwandishi wa EATV asimulia alivyokamatwa na polisi wakati wa maandamano "Nilizuiwa kuongea na simu"
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yasitisha Leseni ya Mwananchi kutoa maudhui mtandaoni kwa siku 30
- Mwandishi wa Jambo TV afokewa vikali kisa kuliza swali tukio la kupigwa risasi Lissu
- TCRA yailima Barua Jambo TV kwa kurusha taarifa za Tundu Lissu na Kabendera kuhusu shutuma kwa Tigo na Vodacom
- Mkurugenzi wa TAMISEMI: Waandishi wa habari msitumie neno "Kukatwa Wagombea", ni kinyume na kanuni za Uchaguzi
- Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa
- TAMISEMI yawanoa Waandishi wa Habari Mtandaoni (Online TV) kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuhakikisha hawatoi taarifa kwa upendeleo
- Mjadala JamiiForums & Star TV: Nafasi ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi wa Seriali za Mtaa
- Je Vyombo vya Habari Viliwatendea Haki Watanzania Kuwaelimisha Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?. Mimi na PPR Yangu, Tulijitolea Vipindi 6 vya TV.
JANUARI
- Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!
- Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media
- Mbowe: Hawa wanaongea uzushi uzushi kila siku kwenye vyombo vya habari baada ya Uchaguzi tutawashughulikia
- Kwanini TBC hawarushi Live mkutano mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?
- Hongera Rais kwa kuimarisha demokrasia nchini. Hakuna tv yoyote ingeruhusiwa kurusha mkutunano wa CHADEMA
- Kuelekea Mkutano wa Katibu Mkuu CHADEMA; Waandishi wa Habari wazuiwa na kuondolewa eneo la mkutano makao makuu ya chama
- Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia
- Handeni: DC Msando aamuru mwandishi wa habari kukamatwa na kazi zake kufutwa kwenye camera
- Watangazaji Crown FM wageuza kauli ya "Mitano Tena" pambio kwenye kipindi, kweli wataweza kukemea uovu hawa?
- Wasafi Media ishakuwa media ya CCM, wame-brand magari yao kwa rangi za CCM, kuelekea miaka 48 ya chama hicho
- Kuepuka Media House kufungiwa, Lissu asihojiwe live, mrekodini kwanza mhariri kisha mrushe hewani. Lissu ni risk factor kwa media
- TCRA, TEF kwanini hawakemei waandishi na watangazaji wanaojihusisha na siasa wazi wazi?
- Online TVs zimekuwa compromised na CCM? Anachofanya Baba Levo kuhusu ''Mama Hana Deni'' ni kampeni kwa Rais Samia na CCM kuelekea uchaguzi mkuu
- EFM wanalipwa kueneza chuki dhidi ya wapinzani kipindi hiki cha uchaguzi? Wananchi Ikungi wapewa script waseme wanamchukia Lissu
- Global TV, Jambo TV, EATV na wengine wamepitishiwa vibunda kumchafua Lissu? Wapost habari kusambaza chuki dhidi yake
- TCRA: Mwandishi anayetaka kugombea nafasi ya uongozi kwenye siasa anapaswa kuacha kazi
- John Heche: Vyombo vya habari vinafanya upendeleo. Wakifanya coverage ya upinzani wanafanya negative stories
- Tathmini ya Vyombo vya Habari kuhusu kuripoti matukio ya kisiasa nchini Februari 2025