Marcossy A.M
Member
- Aug 21, 2008
- 61
- 24
Ndugu wa JM,
https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/tongue.png
:tonguez:
Kwa kweli hali ya watu waliounguziwa maeneo yao inatisha na hawana msaada wowote.Tokea ijumaa walikuwa wamepewa kilo 50 za mchele,50 za sembe,kilo kumi za sukari na maharage kutoka kwa mkuu wa wilaya.Wamepewa vyumba viwili vya maduka ndio wamepewa hifadhi.Mpaka jana hamna msaada.Waathirika ni takriban watu mia na kumi.Chakula hicho kinatosha kwa siku tano? Napata wasiwasi sana juu ya hali inavyochukuliwa hapa na sielewi kama viongozi wetu wako tayari tulijue tatizo na kulitatua.
Nawasilisha kwa sasa.