Hali yako ya kimahusiano ni ipi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapojikuta haupo katika kundi lolote, au unaangukia makundi zaidi ya mawili,, acha Feb 14 ipite ndipo tutaishi kwa amani
 
1.Single
2.Umeolewa/Umeoa
3.Sogea tukae
4.Taken
5.Hakuna anayekutaka
6.Towashi
7.Umetaliki/Talikiwa.
8.Mjane/Mgane
Huu mwaka nimeuanza vizuri.. nimepata toto moja ya kisomali tunapendana flani hivi bado tupo kunogezana kiana lakini tunapoelekea ni kuzuri
 
Towashi ndiyo Nini?
Towashi: Mtu anaishi bila kumjua mke mpk anakufa,


AINA ZA MATOWASHI

Wapo aina 3 za towashi,

1.Kuzaliwa hvyo na Mungu: Wapo wanaume ambao hawezi kumjua mke,kwasababu wamezaliwa kutoweza kusimamisha na kumjua mke,kwahyo huishi hvyo mpk kufa bila kutibika,(HANITHI)

2.Anaye amua hvyo kwaajili ya Mungu: Kuna watu kwa sababu ya ukolezi wa iman yake,anaamua kuto-OA ili kuishi USEJA hadi kufa bila kumjua mke,mfano: mapadre hawa.

3.Anayefanywa na binadamu kuwa hvyo: Kuna binadamu wanarubuniwa na binadamu NA kuuliwa kabisa uwezo wao wa kumjua mke,kwa faida binafsi, mfano: Miaka ya nyuma,Madaktari na walinz wa malkia walitakiwa kuondolewa uwezo wa kuzaa na hisia,(wanasiwa), au wafanyakaz wa viwandani enz za mkoloni waliondolewa uwezo wa kuzaa na kuhisia,ili wawe na nguvu sana kwaajili ya kulima,kuvuna na kufanya kazi,kwahyo huyu mtu hawezi mjua mke mpk anakufa na machine haiwez simama.



USIPOELEWA AU NILIPOKOSEA,

TUJUZANE.
 
🤔
Ahsante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…