Towashi: Mtu anaishi bila kumjua mke mpk anakufa,
AINA ZA MATOWASHI
Wapo aina 3 za towashi,
1.Kuzaliwa hvyo na Mungu: Wapo wanaume ambao hawezi kumjua mke,kwasababu wamezaliwa kutoweza kusimamisha na kumjua mke,kwahyo huishi hvyo mpk kufa bila kutibika,(HANITHI)
2.Anaye amua hvyo kwaajili ya Mungu: Kuna watu kwa sababu ya ukolezi wa iman yake,anaamua kuto-OA ili kuishi USEJA hadi kufa bila kumjua mke,mfano: mapadre hawa.
3.Anayefanywa na binadamu kuwa hvyo: Kuna binadamu wanarubuniwa na binadamu NA kuuliwa kabisa uwezo wao wa kumjua mke,kwa faida binafsi, mfano: Miaka ya nyuma,Madaktari na walinz wa malkia walitakiwa kuondolewa uwezo wa kuzaa na hisia,(wanasiwa), au wafanyakaz wa viwandani enz za mkoloni waliondolewa uwezo wa kuzaa na kuhisia,ili wawe na nguvu sana kwaajili ya kulima,kuvuna na kufanya kazi,kwahyo huyu mtu hawezi mjua mke mpk anakufa na machine haiwez simama.
USIPOELEWA AU NILIPOKOSEA,
TUJUZANE.