Hali yako ya kimaisha ya sasa unaipa methali au msemo upi?

Chochote ninachokifanya na kukutana nacho either kitanipa matokeo chanya au hasi-basi always nahitimisha kuwa it is part of the game.
 
nilipokua mdogo nilidhani wakubwa ndio wanafaidi sasa nimekuwa mkubwa nimegundua sio wakubwa wanafaidi bali ni wenye hela wanafaidiii
 

Kuvuja kwa pakacha ...
 
Ganda la mua la jana Chungu kaona kivuno.
 
Marafiki wanakupenda ukiwanacho...Ndugai kanigeuka leo wakati alitaka kuniongezea muhula mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…