ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Hovyo kabisa!!mamilioni ya kuwalipa wabunge hewa kina Mdee yapo,ila ya kuweka ruzuku kwenye mbolea haipo. Serikali ya hovyo
Tumieni NPS na minjingu..sokuhizi zimeboleshwaYaani kwa sasa shamba imekua changamoto. Mtu unahitaji DAP , bado UREA ongeza na CAN hapo madawa. Mafuta kwa ajili ya kumwagilia ! (Gharama za trekta na vibarua) Wengine mito tunayotumia imefikia hatua inabidi tupangiane siku za kumwagilia [emoji23][emoji23] maana maji yamekua kidogo sana au labda uamke usiku sana. Na bei ya mazao kwa kweli haiendani na gharama za uendeshaji ona Nyanya mwaka huu, Pilipili hoho , Nyanya chungu afadhali Maharage yanatubeba.
Kwa nilivyowaza mimi Bustan naipumzisha yale mashamba nayarudisha kizamani nitatia samadi ya kutosha kisha yanakaa mpaka mwezi may ndo nayafufua tena. Vinginevyo hiki kilimo tutakichukia
Aina hiyo ni mmoja, lakini ni jumla ya mifuko mitatu aina tofauti tofauti ambayo inahitajika kuwekwa kwa awamu 3 katika eka kwa msimu.Hiyo bei ni Balaa.
Na kwenye Heka moja inaingia hiyo mifuko mingapi?
Poleni sana...
Asante sana mkuuTumieni NPS na minjingu..sokuhizi zimeboleshwa
kwenye mpunga ekari moja inaweza kuchukua mifuko sita ya Aina tofauti tofauti itakayopigwa kwa awamu tatu.Hiyo bei ni Balaa.
Na kwenye Heka moja inaingia hiyo mifuko mingapi?
140,000*6 = 840,000.kwenye mpunga ekari moja inaweza kuchukua mifuko sita ya Aina tofauti tofauti itakayopigwa kwa awamu tatu.
ndio iwanyoke mpaka kufa! au mi sielewiEti serikali ya wanyonge???
Ukweli ni upiii!??Hivi mbona hamuelewi, puuzeni huo uzushi wa bei ya mbolea🐒
View attachment 2021258
Nakwambia kila sekta kitu kinapanda, vioo vya madirisha vilikuwa vinauzwa 75000 sasa ni 170000, yani nikisikia akina mwigulu nabaki kushangaa mambo wanayosema na uhalisia mtaani.Habari za kazi Wana JF/wadau/wananchi? Huku kwetu DAP ni laki na elfu arobaini.140,000/=hivi kwa Bei hii kilimo kitafanyika mwaka huu?
Hebu tupaze sauti, tuwasaidie wakulima hali ni Tete msimu huu.