Hali zenu hapa!

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Baada ya miaka kadhaa ya kuchungulia kama mgeni,sasa nimeamua kuingia ndani nami niwe mmoja wenu. Nitachangia na kuchangiwa hoja. Mko poa lakini?

Tupo pamoja!
 
karibu sana
jazba hazitakiwi kama mtu kakuudhi bora ukae kimya kuepuka bun.
sio kila mtu atakukubali na pia sio kila mtu utamkubali
fikra mbadala na busara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…