HALICHACHI yaniweka kwenye parandesi

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
WAKUU,

NAANDIKA UZI HUU SASA HIVI SAA 23:45,
AMBAPO,
KUNA DADA JIRANI YANGU,
WA CHUMBA CHA NNE KUTOKA CHANGU,
AMBAYE KIMWONEKANO NI KAMA MAPACHA NA NANSY_SUMARI,
NA ALIVYOJAZIA NI KAMA SHAMSA_FORD.

KAJA KUBISHA HODI CHUMBANI KWANGU MUDAA HUU,
MIMEMFUNGULIA KAINGIA 1 KWA 1,
KWA KUWA SINA KITI WALA STULI
KAKAA KWENYE GODORO LANGU LA FUTI 2½ KABISA,

KAVAA GAUNI LAKE LAINI LA KULALIA,
HALAFU KIFUA KIKO WAZI KIAINA.

NILIPOMUULIZA
ANA SHIDA GANI,
KANIAMBIA
"Excuse me #Seneta_Wa_Mtwiz,
I am just in need of being instructed how to subscribe the new burning mobile offer titled "halichachi."

SASA NIPO HAPA NAMWELEKEZA MENYU YA HALICHACHI.
--------------

ILA WAKUU,
HIVI HUU NI USTAARABU KWELI HUU
WA KUSUMBUANA USIKU HUU!?!

NANYI MAJIRANI ZENU WAPO KAMA HUYU WANGU KWELI?!?!

NIKIMPIGA MARUFUKU KUNIZOEA NITAKUWA NIMEKOSEA??
 
Hapo kwenye hayo maswali ya ustaarabu ulipaswa umuulize yeye mwenyewe

Ni jirani yak tu ndio yuko hivyo

Hebu jaribu kumpiga marufuku tuone kama atakuzoea


Hujakosea tatizo hujaamua
 
Reactions: BAK
Ulipotea humu, sijakuona kipindi sasa. Ulijificha wapi?

Hapo kwenye hayo maswali ya ustaarabu ulipaswa umuulize yeye mwenyewe

Ni jirani yak tu ndio yuko hivyo

Hebu jaribu kumpiga marufuku tuone kama atakuzoea


Hujakosea tatizo hujaamua
 
Muuanganishe Kabisa na hicho kifurushi cha tiGo halichachi sio unaishia kuelekeza tu
 
Sasa tukusaidiaje labda mzigo unao hapo mwenyew
Maamuz yako ukiona ustarabu waweza mwacha aende kama vp
Labda anawashwa kaja umkune[emoji3][emoji3][emoji23]
 
remind you n yege za
Sasa tukusaidiaje labda mzigo unao hapo mwenyew
Maamuz yako ukiona ustarabu waweza mwacha aende kama vp
Labda anawashwa kaja umkune[emoji3][emoji3][emoji23]
mwanamke zinaweza kumuua kabisa,,then manamke akipata mkunaji mzuri nakwambia utapewa free p hadi ukinai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…