Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia.
Hali hii imenikatisha tamaa.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia.
Hali hii imenikatisha tamaa.