Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
AstaghfillulahLabda ampitishe kwenye mitaro ya maji taka. Wahalifu wa siku hizi utadhani wamezaliwa enzi za sodoma na gomora
Huko si pamezuiliwa lakiniLabda ampitishe kwenye mitaro ya maji taka. Wahalifu wa siku hizi utadhani wamezaliwa enzi za sodoma na gomora
Daah ..👆🤣Una uhakika antena ipo? Inadaka mawimbi vizuri??