Halii hii

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
163
Reaction score
108
Hali hii ilivyombaya......duuh yaani hadi panya wameamua kunikimbia...hapa nimebakiwa na shingtano ya mwinyi
Nawaza sijui magufuli . aseme RUKSAaaaaa tuuuuu,
 
mpaka panya wamekukimbia kweli umebaki mweupe peee

Bora hats magu auze uwo mchanga wa makikia kwa mondo ajengee Madame, halafu tugawane tyu maana inchii hii ishapigwa Bwei
 
Mkuu mimi nina jiti tuu..! Huwezi amini.

Tahadhari usipe mtaani kwangu mida ya saa mbili nitakupiga ngetta..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…