Halima Kimwana ajichora tatoo ya Diamond kurudisha fadhira

yoelisahe

Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
72
Reaction score
21



 
nadhani siku hizi ndiyo njia pekee ya kuonyesha shukurani

 
Wanafki tu hao,upendo wa kweli unatakiwa umuweke mtu moyoni kama tattoo sio kujichora hadharani uonekane na hadhira
 
yoelisahe nawe unajitoa ufahamu !

Damond amekukaa sana mukichwa humo?

Angalia title ya thread yako ! Na Tattoo yenyewe !


Pole sana mkuu !

:msela:
 
Last edited by a moderator:
yoelisahe nawe unajitoa ufahamu !

Damond amekukaa sana mukichwa humo?

Angalia title ya thread yako ! Na Tattoo yenyewe !


Pole sana mkuu !

:msela:


Nadhani jamaa yuko sahihi au labda bichwa langu na mimi lime-fail nafikiri hii picha ya mwanzo ndio imebeba mahudhui ya thread nimejaribu kui-zoom picha sehemu ya mkono.
 
Last edited by a moderator:
Huyo halima white nayeye mjumbe wa bunge la katiba au?
 
yoelisahe nawe unajitoa ufahamu !

Damond amekukaa sana mukichwa humo?

Angalia title ya thread yako ! Na Tattoo yenyewe !


Pole sana mkuu !

:msela:
tatizo ni wewe na wala sio mleta mada....kipi kigumu kueleweka hapo?
?
 
Kongosho usiponichora tatuuu ujuee tunapingua urafiki
 
Last edited by a moderator:
Huyo aliejichora WEMA ni KAJALA mpwa sio Halima alikua analipa zile mil 16 za kutolewa jela.

Ndomo nae sio mtu mzuri yan hata kumpigisha pamba Dada yake wa hiyar maana niliwaona sinza mori kama MTU na housegl wak
 
Huyo aliejichora WEMA ni KAJALA mpwa sio Halima alikua analipa zile mil 16 za kutolewa jela.



Na yeye mpaka kujichora kote kule ! WEMA mwenyewe Pesa alipewa na Clement wa ikul'' !
!
 
Mbona ana lisura linatisha hivi huyu dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…