Ndomo nae sio mtu mzuri yan hata kumpigisha pamba Dada yake wa hiyar maana niliwaona sinza mori kama MTU na housegl wak
Ndomo nae sio mtu mzuri yan hata kumpigisha pamba Dada yake wa hiyar maana niliwaona sinza mori kama MTU na housegl wak
Na yeye mpaka kujichora kote kule ! WEMA mwenyewe Pesa alipewa na Clement wa ikul'' !
!
Hivi huyu halima huwa ana undugu gani na diamond?Ndomo nae sio mtu mzuri yan hata kumpigisha pamba Dada yake wa hiyar maana niliwaona sinza mori kama MTU na housegl wak
View attachment 154022
Pesa ndio chanzo cha upendo na uhasama
bora umeuliza... nayeye awekwe kwenye list ya wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya mastaa.. cc warumi
Make amekuwa maarufu ila sijui ni nani, modal mwanamuziki au nani?
Ila habari za mtaani si wanasema bibie kaamua kwenda kuzilipa kwa vitendo hizi 16 mil kwa mwenyewe aliezitoa haaaahaaa hawa celebs wa kwetu ni takataka hasa wa kike.
Nilisikiaga alikuwa mshiriki katika mashindani ya manywere kimwana....kitu kama hicho.. Hence the name Halima KIMWANA
Mbaya nae huyuuu sijui hua anajipodoajee lol
Kumbeee muda ukifika nishtue nikajiandikishe....Kimwana manywele ni shindano la kukatika mauno. Humo watu wanamwaga nyonga hatari.