Halima kimwana na Diamond..

Magazeti ya Shigongo yanapunguza nguvu za kume

Hii thread nimeanzisha mimi mwenyewe,tafadhali kama umeamua kutembelea humu uwe na Adabu zote na kuheshimu kile alichokiandika mwenzio,kama unaona ni bullshti unaweza kusepa tu kimya kimya bila kuchafua hali ya hewa,kama ukijifanya umepinda,mimi mwenyewe nimekatika kabisa,mimi siwezi ata siku moja kuingia kwenye thread ya mtu nikaanza kutoa maneno ya shombo,naomba tu heshima ichukue mkondo wake
 
this is not right, hili jukwaa halikuanzishwa kwa ajili ya wanawake tu. labda kama sijakuelewa mkuu

hapana Dada yangu sujamaanisha hili jukwaa la wanawake laa ila kuna ishu mwanaume kuziongelea haipendezi hususan kujadili habari za mapenzi ya watu hayo ni mambo ya uani kwa akina dada wakikata vitunguu hv ktk uhalisia kaka yako akijadili vitu kama hivi vya akina warumi unajisikiaje? sio siri wanastaajabisha wanaume
 

Kweli we umekatika,kulikoni dume zima kuongea habari umbea umbea kama mwanamwali?Mambo ya gossip waachie wakina dada.
 

Na nini kimekufanya uwe banned? ni huko kukatika kwako?
 
Jamani warumi wangu yuko wapiiiiiiiiuuuu uuuuuuuuwiiiiiiiiii
Duuuu watu wengine humu mnajifanya wanaume kumbe wanawake tuuu
 
Duuuh maneno yangekua yanamtoboa mtu Diamond angekua chandarua maana anafuatiliwa.mpaka kwenye kwichi kwichi!!!!
 
maana mkuu nimestuka jinsi alivyo interested na private issue za watu namna hii sijapata kuona mtu unaguswa na kufwatilia mambo ya watu namna hii aisee
Udaku ndo unaoweka watu mjini hapa..e
 
Muanzisha mada anapenda sana habari za udaku udaku kufuatilia mambo ya watu
 
Labda mganga wake alimwambia amfanyie you never know.
 
Ila sio siri ,warumi ni m_mbeya sana,sijui anafanya kazi saluni kinondoni?
 
Ila sio siri ,warumi ni m_mbeya sana,sijui anafanya kazi saluni kinondoni?

yaani duh nilistaajabu sana kusikia ni mwanaume halafu akina Dada ndo wanamfurahia mambo yake haipendezi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…