Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... wahuni wamekutana na wahuni zaidi!mfa maji haishi kutapatapa
wao walivyofoji zile sain watasema sio wahuni?
Kwani yeye Halima Mdee alikuwa anatakaje ili hali walipewa nafasi ya kuomba radhi lkn hawakutaka kuomba msamaha??.Aliyewafukuza ni Mbowe au kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama??.
Umeona eenhh??!!!.Binti mzuri Ila akili mbofumbofu.