Mufiyakicheko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 892
- 86
kuna tetesi mbunge wa jimbo la kawe mh Halima jemes mdee anampango wa kutafuta wakili wa kumsaidia msani
Elizabeti michael [Lulu] kwenye kesi ya malehem kanumba.
mwenye taalifa kamili
nawasilisha
.....
.......Mufiyakichekomameongoza....
kuna tetesi mbunge wa jimbo la kawe mh Halima jemes mdee anampango wa kutafuta wakili wa kumsaidia msani
Elizabeti michael [Lulu] kwenye kesi ya malehem kanumba.
mwenye taalifa kamili
nawasilisha
kuna tetesi mbunge wa jimbo la kawe mh Halima jemes mdee anampango wa kutafuta wakili wa kumsaidia msani
Elizabeti michael [Lulu] kwenye kesi ya malehem kanumba.
mwenye taalifa kamili
nawasilisha
Kwani kuna tatizo gani Mdee kumtafutia wakili?
Malehem na taalifa ndio nini?
Mh.halima mdee,kathibitisha kwamba alienda kumtembelea kituo cha oysterbay na akasema lulu ana miaka 17 na sio 18 kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari,kwa maelezo zaidi mfuate ktk ukurasa wake wa twitter@halimamdee.

Halafu hili la kusema anamiaka 17 mimi linanitia wasiwasi , maana kama ana vyeti na vikaonyesha anamiaka 18 itajenga picha mbaya kwenye kesi yake
Kuwa anajua alichofanya hivyo anadanganya umri kujilinda
Namtakia kila la heri aumalize mtihani huu salama
Inamaana alidanganya miaka alipodondosha pati la nguvu kusheherekea miaka 18 mwaka jana ili ahalalishe watu kumrukia kisheria?lulu ni under 18, Kanumba alikuwa ana.......kimakosa
MHUSIKA katika kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' (pichani), ameangusha bonge la ‘pati ya bethdei' ya kutimiza miaka 18 inayodaiwa kugharimu takribani shilingi milioni 3.
Tukio hilo lilichukua nafasi maeneo ya Sinza-Madukani, Dar es Salaam Jumapili iliyopita ambapo lilihudhuriwa na ‘mashostito' wa karibu wa msanii huyo.
Chanzo hicho kilitambaa na mistari kuwa, marafiki hao walipigwa na butwaa kwa kitendo cha Lulu kugharamia bethdei hiyo kiasi kikubwa cha fedha ukilinganisha na kipato chake.
"Kusema kweli Lulu alifanya kufuru ya aina yake, sisi wenyewe hatukuamini kwani viwalo peke yake viligharimu shilingi laki 7 kwa hesabu za haraka.
"Nakwambia tulijiachia, haijawahi kutokea kwani kinywaji cha bei ya chini kabisa kilikuwa ni cha ‘buku' nne," kilisema chanzo hicho ambacho ni rafiki wa karibu wa Lulu aliyehudhuria sherehe hiyo.
Hata hivyo, chanzo hicho kiliongeza kwamba, mpango mzima ulihudhuriwa na mastaa kiduchu huku mama mzazi wa Lulu akiwa hana habari.
Baada ya kuzitia kibindoni ‘nyiuzi' hizo, Risasi Mchanganyiko lilimvutia waya Lulu na kummwagia ishu nzima ‘pwaa' ambapo alidai kuwa hakumbuki kama kilifika kiasi hicho.
Alisema: "Ninachokumbuka mimi niligharamia fedha taslimu zaidi ya shilingi milioni 2.3, sina hakika kama zilifika ‘em 3'."
Aliendelea kudadavua: "Sikuwaalika wasanii wenzangu wengi kwa sababu siyo marafiki zangu, nimejuana nao kwa ajili ya kazi tu."
Jumapili ya Aprili 17, mwaka huu, Lulu alikuwa akisherehekea kutimiza miaka 18 aliyotimiza katikati ya wiki iliyopita hivyo kutamba kwamba amewanyamazisha watu waliokuwa wakimsema mara kwa mara kuwa haruhusiwi kufanya mambo ya kikubwa.
kwamba umefunga : d*m* lako? Its Better you did it!