Kwani vyeti bongo havitengenezeki?Quote 'Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane'
Je maandishi kwenye cheti chake cha kuzaliwa yakisomeka kumi na saba. Note: Kisheria maandishi yana nguvu zaidi.
If someone told you he/she had one hundred million shillings in his/her bank account but his/her bank statement showed he/she had only ten thousand shillings , which one is more authentic; what you were told or what you read from the bank statement?
Kuna kisa cha Bush na mfungwa.Mfungwa akikamatwa na makosa yaliyomfikishia kuhukumiwa kifo.kwa muda aliokuwa gerezani akaokoka na kuwa mtu mwema aliyeweza badili wengi magerezani na nje.Ilipofika kwa Bush kuweka sahihi ktk Hukumu watu wa haki za binadamu na taasisi nyingine zikaanza hesabu mema na mfano mzuri wa jamaa km kigezo cha kumtaka Bush amsamehe jamaa. Bush akajaribu fikiria ni wapi sheria inaruhusu hayo au kuchagua mtu wa kukwepa sheria,hakuona.Ikabidi apitishe hukumu na watu waengi walimlaumu sana.
Huyu Binti ajilaumu kwa kutokuwa shule, kwani umri wa kuolewa kisheria anao ,pengine shule tuu ndio ingenfanya aonekane kutumiwa na marehemu au pengine asingekuwa kwa huyo jamaa kwani asingekuwa huru hivyo.Ila km alimsukuma na kumsababishia kifo(hata km kifo kilikuwa tayari mlangoni) hakuna njia halali ya kumuepusha, pengine ihamie ktk muua bila kukusudia.Si vyema sana huruma ifanye watu wepesi kuzuia sheria kwa baadhi ya watu.
Kitendo cha kuficha umri na kuweza kwenda club inatosha kueleza kuwa ana uwezo kutambua alichokua anafanya ni kosa ndio maana alifahamu kuficha umri ataweza kuruhusiwa kuingia club. Hivyo kigezo cha mtoto mdogo hapa kinapoteza maana yake. Mtoto mdogo ni yule anaeweza kufanya jambo na asielewe madhara yake.Umri mdogo si namba tu bali unahusishwa na uwezo wa mwenye umri kutambua na kuelewa alifanyalo pamoja na madhara yakr. Ni sawa na mtoto anayeokota bastola na kuifyatua kwa kudhani ni toy kisha akaua.
alifanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka 18, leo hii mnasema ni mtoto wa miaka 17, lulu ni mkubwa mwenzetu, sheria ichukue mkondo wake. halima mdee unatafuta umaarufu ili upate bwana nini, hovyoooooNakupongeza Mh Mdee fanya lililo jema Lulu ni bint mdogo (minor). Amekuwa akirubuniwa na mabazazi kwa urembo wake. She's only 17! Wabongo wanausemi wa kijinga mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzako.
Go go go Mh Mdee
Kwa mdomo wake alisema ana miaka kumi na nane. Sasa wewe kusema 17 unatafuta umaarufu? Kumbuka nguvu ya umma ipo against wewe! Ya ngoswe...............
Malehem na taalifa ndio nini?
Jaribu kutumia akili zako zoote. Zikiisha ndipo uombe za wenzako. tetesi! si umuulize aliyekupa tetesi, by the way, is it bad or sin? Ni haki na ni maamuzi yake mwenyewe na hajakuomba pesa. Mwache
Hili ndilo la msingi na lenye maslahi kwa taifa, aachane na kesi za uzinzi zisizo na tija kwa taifa. Asipoteze muda wa sisi tuliomchagua
Kwani hapa anayepaswa kutoa ukweli kama ni umri gani anao huyu binti ni nani??
Kwa mawazo yangu hafifu:-
(1) Cheti chake cha kuzaliwa.
(2) Wazazi Wake.
(3) Yeye mwenyewe.
Na kamwe siyo sisi mashabiki ambao hatukushuhudia hatawakati anazaliwa, tumemuona tu binti mrembo akiwa mkubwa.
Hivyo tuwaachie wenyewe........
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Sasa watu wamsaidiaje? Yani anataka tukubali kuwa hajahusika na wakati vyombo vya sheria havijathibitisha? Hapa hakuna cha kumsaidia, tuache tu haki itendeke (ingawa kibongo bongo haki huwaga haipatikani kirahisi)did mdee say kwamba because ana 17 she is free? amesema watu wamsaidie, haki itendeka, plz mkuu ukiwa unawasikiliza politicians, mark their words!!!
mdee anachemka....
mtoto wa babu seya alikaa segerea akiwa na miaka 17 tu... umri isiwe kigezo cha haki kutotendeka plus kuna ushahidi wa interview mbalimbali anaukana udogo hadharani na kusema she is 18 .. tuacheni mahakama iamue..