Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

Ni ujanja ujanja tu, mtoto mdogo kama huyo alienda kufanya nn huko kwa R.I.P Kanumba?

hapo umenena km ni mtoto alienda kufanya nini ucku wa manane?wazazi wk waliwezaje kumruhusu ucku wote huo?hakuna anaye mhukumu but atahukumiwa kwa matendo yake,wote tulipitia utoto ila mwenzetu alianza ukubwa ndio amekuwa mtoto leo!
 
Tunaangalia upande mmoja tu kuwa mtu aliyependwa sana kafa. Amekufaje? Kwenye mazingira ya zinaa........... na kabinti kadooogo.
Kimsingi, yule dada atakapoachiwa huru, tutaomba kibali cha mahakama cha kufukua maiti ya mbakaji na kisha kuichapa viboko.
Tukichelewa tu...... watamtangaza mwenye heri........
 
Amsaidie kwa upole, akili,maarifa, ujuzi, uzoefu, busara na hofu
 
tatizo mdee mwenyewe hajui kilichotokea usiku ule nyumbani kwa kanumba...na sijui yupo kisiasa au kibinadamu.
 
msaada anaomaanisha mdee ni ule wa kuhakikisha haki inatendeka.
wengi tunamhukumu lulu moja kwa moja na hatujui lililotokea na hii ni wazi kabisa kuwa inaweza ikamkosesha lulu haki
hivi katika hili tukio kanumba angekua hai na lulu ndio amekufa tungemchukuliaje?
 
Halima Mdee anajidhihirisha jinsi alivo mnafiki na anayependa cheap popularity kupitia migongo ya watu wengine. Watoto wangapi wako jela haja wahi hata kwenda kuwaona acha kuwapelekea sabuni, kwa nini Lulu? What about Rama Mla watu? tena yeye aliwekwa jela ya watu wazima sio ya watoto kwa nini hujamtetea hadi leo hii?

Bi Halima Mdee unajidhalilisha kwa hili. Una uhakika gani kuwa Lulu ana miaka 17 wakati mwenyewe alikiri kuwa she already 18 kwa hiyo mwaka huu ni 19?
 

Hapo kwenye swali, nasikitika watu wengi hawataki kupafikiria kwa kina na badala yake wanabase upande mmoja tu! Nampongeza sana Mdee kwa hatua aloichukua, honestly ningekuwa na uwezo ningemjoin mpaka mwisho! Naumia sana kuona binti lulu anaitwa muuaji ilhali hakuna data zingine zilizotolewa kututhibitishia hilo. Na isitoshe lulu mwenyewe bado hajafunguka zaidi, bali watu wanamjudge kwa tabia zake......so sad kwakweli!!!
 
mkuu subiri kwanza kesi isikilizwe ndiyo uanze kuandika vitu kama hivyo...!
 
we leonardo akili yako haiko sawa coz c kila mtu anaeenda jela atetewe na halima. we ndo mnafiki coz huna hoja.mbna wasanii wengi wamekufa hawajazikwa na alaiki km kanumba.kila mtu na perception yke hapa dunian,halima awe na uhakika wa miaka ye mamake lulu?Wazaz wke ndo wamesema na b.certificate. .K2 kingne mcmlaum na kumhukum mamake lulu km hujazaa tulia subiri yko hawa watoto wa cku hzi.
 
hapo umenena km ni mtoto alienda kufanya nini ucku wa manane?wazazi wk waliwezaje kumruhusu ucku wote huo?hakuna anaye mhukumu but atahukumiwa kwa matendo yake,wote tulipitia utoto ila mwenzetu alianza ukubwa ndio amekuwa mtoto leo!

huyu nae anataka uspoon kupitia lulu. Mbona alipokua anawaona wako wawili asimpeleke Sk mahakamani kwa kutembea na katoto kadogo. Kwanza kindegaten mwenyewe anapepo ngono. Achen siasa ndan ya haki hatuko jukwaan hapa. Wa2 hanamchukia lulu kwa tabia yake si kivingine. Usisahau wahenga Uzur wa mwanamke si sura ..
 
Hakuna kingine Anachotafuta Halima zaidi kutaka kumjua huyo waziri wa ccm aliye na uhusiano na Lulu ili apambane naye,na kwahilo namuuna mkono
 
Acheni zenu halima mdee is right nakusapoti mama and guys msiwajudge kabla hamjawajua lolz hatupo kwenye siasa
 
duh, ebwana eeh!
 
Kimsingi, yule dada atakapoachiwa huru, tutaomba kibali cha mahakama cha kufukua maiti ya mbakaji na kisha kuichapa viboko.
Tukichelewa tu...... watamtangaza mwenye heri........
duh, ebwana eeh!
 
Go mdee go! Waudaku wamezidi! Nakuunga mguu! Kwan asitetewe Lulu anapembe? Kila m2 na interest zake!!na n haki yake,ao wanaodai wamejaa watoto kbao wa kutetewa,kwan hakuna wakil o lawyerz wengne,au kwa vile yeye! Af ictoshe inamvuto ndomana media hawachok kumwandama!kila m2 atatetewa kwa nafs yake,.bytheway,she is not the only loya in the world,wajitokeze wengne kutetea wengine..ye ndo kashampenda lulu jman,yan ndo ivo tena..heheiyee
 
mnaojifanya Mdee yuko sahihi ni vile ni CDM,angetokea magamba hapa angemtetea lulu mngeshuhudia wenyewe angenangwa mbaya,mimi cmchukii lulu but wazazi walikuwa wapi cku zote toka mtoto akiwa na umri wa miaka 14 anavaa km yupo utupu ma wanamuona kwn magazeti kila kukicha cyo ya kuhadithiwa. wao ndio wamemfikisha hapa alipo coz samaki mkunje angali mbichi,miaka yote watu tunapiga kelele huyu mtoto jamani hana wazazi leo ndio wanaibula bila aibu na kusema mtoto wetu ni mdogo! Hivi kweli?
 
Wakati Lulu anafanya mambo ya kikubwa, aliachiwa kwamba ni mkubwa, na mwenyew alikiri EATV kuwa she is 18 yrs old. Sasa leo amepata na mabalaa ndipo umri unapokanwa na kuonekana mtoto.Halima, kama kweli unataka kumsaidia huyu binti, fanya hivyo hakuna anayekuzuia ila sio ufanye kwa kujitangaza na kujisifu as If huyo aliyefariki naye si mtu na hana ndugu wala jamaa. Watu wameumizwa na huu msiba, nadhani ufike wakati wa kuacha kutafuta umaarufu kupitia mambo mazito kama haya. . Na ujue pia sio kila mtu amefurahia kitendo hicho, uelewe pia hata huyo Kanumba nayeye ana ndugu na jamaa, kama angekuwa hoi hosp lazima ungesikia nduguze wakihangaika ila kwakuwa ameshafariki ndo unaona kimya. Kikubwa iachiwe mahakama ifanye kazi yake ili haki itendeke,kama amehusika haya kama hakuhusika basi . Hakuna anayetaka Lulu aonewe ila haki itendeke , tumekuwa tukisoma msg zenu eti she is only 17 yrs na umeona cheti chake cha kuzaliwa, ...so what?? wewe sio hakimu, kaa kimya achia watu wafanye kazi yao .!!
 
I STRONGLY BEG TO DIFFER!
Sipingi Lulu kupatiwa usaidizi wa kisheria kwani hiyo ni haki yake kisheria na ninaunguana na wote wanaopinga kutoa hukumu kabla ukweli haujajulikana katika kesi hii. Napinga mwelekeo wa wote wanaojipanga mgongoni kwa Lulu kutoa mtazamo wa kumhuhukumu Kanumba kana kwamba walikuwepo wakati wa tukio. Kumsaidia Lulu haina maana kushinikiza aonekane innocent hata kama ukweli uko kinyume chake.

UWONGO WA LULU
Bahati mbaya mtu pekee anayejua ukweli 100% juu ya kifo cha hayati Kanumba ni MWONGO MNO na hii ndo inayonitia mashaka kama ata-cooperate 100% kufunua yaliyofichika na ambayo anayajua yeye tu.
  1. Lulu alifanya sherehe babu kuwa ya birthday mwaka jana alipotimiza miaka 18 na hivyo mwaka huu anapashwa kuwa 19! Ni kwa faida ya nani leo tunajisahaulisha hilo?
  2. Lulu ana leseni ya kuendeshea gari ambayo kisheria haitolewi kwa U18!
  3. Huyo "msanii" aliyempa lifti mara baada ya kuchoropoka kwa Kanumba ni kweli walikutana nje kwa nasibu (coincidently)?
HALIMA MDEE
Inatia moyo kuona wapo watu kama akina Mdee waliojitokeza kumsaidia Lulu asilaliwe katika kesi yake. Mdee (and co.) alikuwa ndiye wa kwanza kujitokeza hadharani kwenda kumsalimia/kumfariji Lulu mahabusu. Ni kutoka kwa Mdee huyo huyo kwa mara ya kwanza ikaanza kusikika kuwa ati umri wa Lulu ni miaka 17! Na ati ameona cheti chake cha kuzaliwa! Alimkuta nacho mahabusu? Inanisikitisha wameanza kwa kumsaidia kusema uwongo na hapo ndipo wanapoongeza mashaka juu ya nia yao.
  • Walikuwa na kisa na hayati Kanumba?
  • Mbona kuna watoto wengi gerezani na mitaani wenye matatizo kama ya Lulu au na kuzidi; amesaidia wangapi? Kwa nini anaanzia katika hili?
MR. "X"
Ni dhahiri sasa kwamba Lulu alibadilisha mawazo ya kutoka na hayati Kanumba ili atoke na mtu mwingine (say Mr. "X") na ndiyo stori yote inaanzia hapo na kuishia kwenye mauti ya Kanumba. Kwangu mimi Mr. "X" ndiyo msababishi halisi wa kifo cha Kanumba either directly or indirectly. Ni Lulu tu (bila shaka na huyo msanii "aliyempa lifti") ndiye anayemjua Mr. "X".
  • Kama ilikuwa ni ajali tu ya kuteleza na kuanguka halipashwi kuwa jambo gumu kwa Lulu kulieza mahakamani. Aliteleza akaanguka.... aliteleza akaangu, basi! Sasa kwa nini aanze na vituko vya kudanganya umri kama hana jambo la kuficha?
  • Kwa nini tusifikiri kwamba yumkini kifo hiki ni planned na Mr. "X" under Lulu's fullest cooperation?
MY TAKE
Msaada mpatieni Lulu, ni haki yake, lakini:
  • Msimsaidie kusema uwongo ili maswali haya magumu yajibike na ndipo haki itatendeka.
  • Mwenye nia ya kujitafutia umaarufu katika kesi ya Lulu afadhari alambe uchochoro mapema. Lulu ameshatumika vibaya mara nyingi huko nyuma; Nobody should take undue advantage of her situation any more for their selfish ends!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…