Sasa hivi nimepita mlalakua iliyokaribu na Mlimani city.Amejieleza vizuri sana.Pia wananchi wamepewa fursa ya kuuliza maswali.Ni mkali,Kawe wasimpoteze.dada huyu,yuko makini sana.Nilikua napita tu katika kuangalia upepo wa campaign zinaendaje.Kawe mpo?
Nilipenda pale alipokomaa na Makamba pamoja na yule meya sijui nanai wa DSM kuhusu viwanja kule kawe.
Mpaka mtu mzima Makamba alislimu amri.
Big up sister.