Kuna wakati JPM alikua sahihi sana kulala mbele na watu, hii nchi bila kutumia nguvu watu hawakuelewi kabisa unachosema....ndiyo maana tunaendelea kumlilia JPM kwa sababu wajinga wajinga kama hao alikuwa akimalizana nao kwa utaratibu kama unaoutamani.
Maridhiano yanampa confidence kuwa watarudishiwa uanachama wao.Naona Mdee ndio anaanza kufunguka, sijui nae hizo nguvu na confidence anavitoa wapi...
sijawahi kusema ni familia nzuri , naona umeishiwa hoja nilikufafanulia tu ili usidhani wote ndo akina nyie ukishapokea ka mshahara unatumia ka wifi cha bure basi unajifanya unataka kuchangia kila jamabo hata kama huna hoja , umekwama knye facts unahamia knye personalities sasaWenye pesa hawajitetei sana kwanza muda huo hawana
sijui familia ya kati sijui ya Pembeni achana na hizo
comments zako humu zingetosha kabisa kujua kama mi familia ya kati au ya pembeni
Na ukiuliza maswali ya msingi unaonekana wewe ni namna gan unawatoa watu kwenye uzi unachochea ugomvi na una lugha chafu,Watz tuna tabia ya kuruhusu na kuvumilia mambo ya kijingajinga na kutouliza maswali ya msingi.
Kama maridhiano kati ya CCM na Chadema yatafikia stage ya kuingilia maamuzi ya vikao vya ndani vya Chadema, hapo nitaona kuna tatizo.Maridhiano yanampa confidence kuwa watarudishiwa uanachama wao.