johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizo wazi. Mdee atachuana na wakali wengine kama Aron Nyanda, Ally Mayai, Bin Kleb nk.
Katika nafasi ya Mwenyekiti Manji amekubali kurejea klabuni hapo kuendelea na majukumu yake kuanzia January 15 mwakani.
Ikumbukwe pia kuwa Lowassa, Mbowe na Mwigulu ni wanazi wakubwa wa Yanga.
Source Clouds 360!