johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizo wazi. Mdee atachuana na wakali wengine kama Aron Nyanda, Ally Mayai, Bin Kleb nk. Katika nafasi ya Mwenyekiti Manji amekubali kurejea klabuni hapo kuendelea na majukumu yake kuanzia January 15 mwakani.
Ikumbukwe pia kuwa Lowassa, Mbowe na Mwigulu ni wanazi wakubwa wa Yanga.Source Clouds 360!
Mjadala wa korosho umeshafungwa labda kahawa!Usitutoe katika reli
Korosho vipi?
Manji tena? Au alikuwa anatikisa kibiriti?Ni katika uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni kujaza nafasi zilizo wazi. Mdee atachuana na wakali wengine kama Aron Nyanda, Ally Mayai, Bin Kleb nk. Katika nafasi ya Mwenyekiti Manji amekubali kurejea klabuni hapo kuendelea na majukumu yake kuanzia January 15 mwakani.
Ikumbukwe pia kuwa Lowassa, Mbowe na Mwigulu ni wanazi wakubwa wa Yanga.Source Clouds 360!
Wazee wa Yanga walienda kumpigia magoti!Manji tena? Au alikuwa anatikisa kibiriti?
Ifuate N'twaraUsitutoe katika reli
Korosho vipi?