halima mdee kuzichapa na jackline wolper tamasha la matumaini

halima anadai anashukuru kwa kupata mahli pa kuyatumia mafunzo yake ya jkt aliyoyapata hivi juzijuzi
 
Mjinga sana huyu Halima Mdee, yaani na yeye anakubali kushirikishwa kwenye utapeli wa Shigongo!!
 
Shigongo at work!!!!!!!
naona hicho ndo wananchi wake walichomtuma
 
Nitamdharau sana Halima akishiriki uu upumbavu wa shigongo
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mhe. HALIMA MDEE akijifua kumkabili JACQUILINE WOLPER katika pambano lao ndondi siku ya tarehe 07.07.2013, venue itakuwa National stadium kwenye Tamasha la Matumaini. Idd Azan atazipiga na JB wa Bongo Movie. I think it's gonna be fun!
 

Attachments

  • ....jpg
    28 KB · Views: 460
  • ...jpg
    26.1 KB · Views: 478
  • ..jpg
    57.4 KB · Views: 625
Huyu mheshimiwa huwa ananifurahisha sana, anavyorusha majab unaweza fikiri ni Leila Ali.
 
hizo picha bado hazijaniconvice kuwa huyo ni mdee. labda ni picha za 90

ndee mzuri wew akitupia viwalo vya nyumbani huwezi kukubali kama ni mbunge unaweza ukamtokea na akikataa unaweza kumtukana kwa kudhani ni sista du
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…