Elections 2010 Halima Mdee--Madale Ni Aje?

Hivi imekuaje tena Mdee akaenda kugombea kwenye jimbo la Ubungo kwa Kamanda Mnyika??? Huyu Suleman hajui anachokisema kwa sababu Madale iko jimbo la Ubungo!!!!

Wamekamatika kila kona, mwaka huu hatudanganyiki!!!!!

Mkuu, Madale iko jimbo la Kawe.
 
Halima Mdee, kama upo hapa, tafadhali fahamisha kama unahitaji volunteer workers for your campaign.
Nitumie private message.
 
Hiyo tuhuma ni nzito sana!ingekuwa vizuri ungeproduce concrete evidence to support your allegations.If you have no concrete evidence ,this is nonesense,and it doesn't hold much water!shame upon you!
 

Kichefuchefu kingine. Mbona hujampeleka TAKUKURU? Hujui ni ya ccm? Unataka sisi tukusaidie nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…