Halima Mdee na wenzake 18 hawana nguvu yoyote ya kimaamuzi Bungeni, wanaburuzika tu

Mema yote aliyofanya magufuri yanafutwa na hiyo issue ya kina Halima pamoja na mambo ya utekaji na mauaji.
 
Hakumung'unya maneno... Kwamba ifikapo mwaka 2020 atakua ameuua upinzan!!
 
Hawana hasara ya aina yoyote ile ni faida ya hela wanayopokea, au hawalipwi kitu ?
nahisi kwa urefu wa kamba yao hawakosi kitu mkiwatambue msiwatambue.
 
Nenda wewe Bungeni ukatoe maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…