Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Usichokijua ni kwamba huo mchezo wote mratibu ni Mbowe!

Utakuja kuelewa baadae sana kama ilivyo kawaida yenu
 
Hata wakate rufaa kwa Mungu sisi hatuwataki hawatakubaliwa. Waende ACT au CCM
Kwani ni nani hadi useme hivyo? mbona Lowassa aliletwa na hakuna aliyepinga sasa ndio itakuwa akina Halima Mdee?
 
Kakojoe ulale usije lowanisha suruali.
CHADEMA siyo punch bag lenu.
Watu wazima huwa tunakojoa na kukojoza kitandani humo humo.

Wenyewe wenye chama chao wanaweza kuamua lolote na huna la kufanya zaidi ya kuunga mkono tu,kinyume na hivyo anzisha chama chako kama alivyosema Zitto.
 
Na corona imejibadili. Sasa tuna corona 2. Madada haya sasa in Covid 19-2.
 
Watu wazima huwa tunakojoa na kukojoza kitandani humo humo.

Wenyewe wenye chama chao wanaweza kuamua lolote na huna la kufanya zaidi ya kuunga mkono tu,kinyume na hivyo anzisha chama chako kama alivyosema Zitto.
Hoja za kikojozi
 
Inasikitisha lakini hakuna njia iliyobaki ni kuwafyekelea tu mbali!!!! Sorry guys i love you all and i am sure Chadema loves you all, ila Chadema has to demonstrate integrity by felivering tough love by rejecting their appeal!!!!
Wakitaka warudi Chadema waanze upya bila kujali tumbi ili angalau wabaki na heshima kidogo!!
Halima Halma Halima????? What devil got to you?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…