Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

Huyo Chakubanga ni mgonjwa wa zika utajuana naye wewe kauli yake haina effect yoyote kwetu sisi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwani huo ubatizo wa covid 19 una athari gani kwa akina Mdee? si mmeamua tu kuwaita na mimi nimeamua tu kuwaita kuwa ni Corona kama alivyowaita Polepole.

Kiujumla wapinzani wote wanaitwa corona.
 
Huyu Halima mdee na wenzake ata wakikata rufaa labda tuseme bado waendelee kuwa wanachama mambo 2 tayari watakuwa wameshayakosa milele wanajipatisha tabu tu:-

1. Lazima watatalazimika kuusamehe ubunge waliojiteua viti maalum ndio uwanachama wao watarudishiwa
2. Na hata wakirudishiwa huo uwanachama Halima Mdee na wenzake hawatakuwa na impact tena kwenye jamii kama vile zamani sababu tayari lile tendo la usaliti litakuwa ndani ya damu yao hawataaminika tena kwa ngazi zozote ndani ya chama.

Mimi nawashauri kama adhma yao ilivyowatuma mwanzo kusaliti na kujipeleka bungeni bora waendelee nayo saivi kila mtu anajua wamenunuliwa huko mbele tena wategemee maisha yao kufadhiliwa ajira toka ccm kama wengine waliosaliti kwenye Chadema, akina Dr slaa, mashinji, kafulila, sjui mtatiro na wenzao wengi wapo.

Chadema kama chama hakitakuwa na moyo tena na hawa 19 lakini pia kwa jamii ambapo saivi kila kitu kipo wazi.
 
Rufaa iliyo nzuri na meaningful kwa wanachama wa chama hicho ni kwa hao wanawake wenje njaa wasio na aibu kutangaza kua WAMEJIVUA HUO UBUNGE feki. Tofauti na hapo ni uhuni! Waachiwe chama chao wawe wanachama wao na biongozi wao wenyewe! Wasituchezee watz
 
Rufaa itakuwa na nguvu kama watajivua huo Ubunge ambao ndiyo chanjo cha hili chokochoko.

Yaani umeiba kuku na umeachiwa kwa dhamana, siku ya kesi unakwenda na minofu ya kuku mahakamani...hapo si ni kumpima imani Hakimu.
 
Aliaminika Lowassa na akapigiwa kura ili awe rais pamoja na kwamba alikuwa akitambulika kama fisadi kwa muda mrefu,sasa ndio itakuwa huyo Halima Mdee?
 
Aliaminika Lowassa na akapigiwa kura ili awe rais pamoja na kwamba alikuwa akitambulika kama fisadi kwa muda mrefu,sasa ndio itakuwa huyo Halima Mdee?
Lowassa aliaminika kuwa na karata kubwa kwenye ushindani wa kiti cha urais., mdee ana nini sasa?
 
Lowassa aliaminika kuwa na karata kubwa kwenye ushindani wa kiti cha urais., mdee ana nini sasa?
Kumbe hoja hapa sio kuaminika tena bali ni power alizonazo mtu,tunaju kuwa Lowassa ana pesa ila alikuwa haaminiki kutokana na tuhuma za ufisadi ila 2015 aliweza kupewa nafasi ya kugombea urais ndio maana nasema kama ishu ni kuaminika tu basi hata Lowassa asingepewa nafasi nyeti kama ile.
 
Narudia., Chadema waliamini Lowassa angeshinda urais tu, hiyo ndio sababu tu by that time, kuhusu ufisadi aliokuwa nao kipindi kile hawakujali sana, lengo ilikuwa ni lowasa aipaishe bendera ya chadema
 
Sasa ndio usizungumzie masuala ya kuaminika au kutoaminika maana hayana nafasi,kama chadema walimchukua Lowassa bila kujali kuwa haaminiki(na imewacost) na wananchi nao wakampigia kura huku wakijua kuwa haaminiki.
 
Kimsingi ni kwamba status ya Halima mdee na Lowassa ni tofauti sana., lakini wote Mdee na Lowasa wamekwisha tena kisiasa, mdee itamugharimu kusubiri ajira kutoka ccm sasa
 
Kimsingi ni kwamba status ya Halima mdee na Lowassa ni tofauti sana., lakini wote Mdee na Lowasa wamekwisha tena kisiasa, mdee itamugharimu kusubiri ajira kutoka ccm sasa
Hapo ndipo ambapo hatuelewani,sasa Halima amekwisha kisiasa kvp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…