Kwan ni lazima?Huwezi ukampenda daimond muimba mapenzi wakati wew huna hata mpenzi na hujawahi tongozwa
Mafanikio n nn?Sasa kwanini hamumpi support angalau na yeye mafanikio nusu ya alikiba au diamond?
Huwezi ukampenda daimond muimba mapenzi wakati wew huna hata mpenzi na hujawahi tongozwa
Mbona me nishawahi mtongozaHuwezi ukampenda daimond muimba mapenzi wakati wew huna hata mpenzi na hujawahi tongozwa
Jinga kabisa.Bibi anachanganya siasa na entertainment...she's narrow-minded...yeye kila kitu ni siasa tu
Akitongozwa unataka atangaze? Na kama ana mpenzi unataka amuweke insta? Ye sio bongo movieHuwezi ukampenda daimond muimba mapenzi wakati wew huna hata mpenzi na hujawahi tongozwa
Mie siipendi kabisa CCM lakini namkubali Diamond. Ulichanganya siasa kwenye kila jambo unaweza ukamchukia hata mtoto wako mwenyewe
Umeshkwa akili na DJ