Pre GE2025 Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huna ujualo kwenye siasa, ruzuku za CDM zinatokana na kura za urais alizopata mgombea wa urais, na huyo mbunge mmoja wa kuchaguliwa. Hao covid walifaidika na idadi ya kura za mgombea wa urais. Na ufahamu hao COVID walishafukuzwa cdm muda mrefu.
Kwanini mlipokea na kuendelea kivita Ruzuku zinazotokana na uchaguzi mliosema hamuutambui? Nipe jibu.
 
Mheshimiwa Mdee ni mwanachama halali kabisa wa CHADEMA.
Kwa mujibu wa majizi ya ccm. Kama mmejaza wezi wa kura huko bungeni na waliopita bila kupingwa, kwanini msione hao COVID 19 ni wanachama halali wa cdm?
 
Kwa mujibu wa majizi ya ccm. Kama mmejaza wezi wa kura huko bungeni na waliopita bila kupingwa, kwanini msione hao COVID 19 ni wanachama halali wa cdm?
Mchango wa Mheshimiwa Halima Mdee ni mkubwa na huwezi ukalinganisha na wa nyumbu wengi tu wanaopiga makelele na kupayuka hovyo hovyo kama vichaa.
 
Kwanini mlipokea na kuendelea kivita Ruzuku zinazotokana na uchaguzi mliosema hamuutambui? Nipe jibu.
Waliopokea wamepokea kisheria, na hiyo haipunguzi ukweli kuwa uchaguzi ule ulikuwa ushenzi kama ushenzi mwingine wowote. Kama unaona wamepewa kama hisani na hao majizi, nenda mahakamani kazuie wasipewe.
 
Mchango wa Mheshimiwa Halima Mdee ni mkubwa na huwezi ukalinganisha na wa nyumbu wengi tu wanaopiga makelele na kupayuka hovyo hovyo kama vichaa.
Mchango huo unaujua ww, sisi tunajua ni msaliti kwa kujiunga na chama la majizi.
 
Hakika Mbowe astaafu sasa
 
Mchango huo unaujua ww, sisi tunajua ni msaliti kwa kujiunga na chama la majizi.
Wewe endelea kuropoka na kupayuka tu .lakini wanachadema halisia wanaufahamu mchango wa jasho na Damu wa Mheshimiwa Mdee ndani ya chama na wapo tayari kumpa kura yao ya ndio ili awe mwenyekiti wao wa chama Taifa.
 
Wewe endelea kuropoka na kupayuka tu .lakini wanachadema halisia wanaufahamu mchango wa jasho na Damu wa Mheshimiwa Mdee ndani ya chama na wapo tayari kumpa kura yao ya ndio ili awe mwenyekiti wao wa chama Taifa.
Ataisikia tu cdm kama ww, sana sana mumpatie vile vyeo vya mabingwa wa kujipendekeza kama DC, RC nk. Ubora wake uliisha siku aliyokubali kurubuniwa na dhalimu magu, fullstop.
 
Mbowe ni lazima akubali tu kumuachia chama Mheshimiwa Mdee ,maana muda wake umekwisha. 2015 aliahidi kuachia uwenyekiti lakini tunashangaa mpaka leo ameng'ang'ania tu kwenye uwenyekiti utafikiri sumaku.
Mbowe ni kigando ,ni kama kupe kwenye mwili wa mnyama anayefugwa ,kagoma kabisa kuachia uenyekiti ,utafikiri uenyekiti wa chadema umechomelewa kwenye mwili wake .Tunakoelekea tujiulize chama cha demokrasia na maendeleo chini ya dictator Mbowe , mwenyekiti wa milele ,kinaendana na jina lake .Ni huzuni sana
 
Kwani akina Mdee si walitokana na uchaguzi ambao ninyi mlisema ni uchafuzi na kwamba hamuutambui?Sasa mlipokea na kuvuta Billion 2.7 za nini wakati mlikataa kuutambua? Au uchaguzi unakuwa huru tu pale Mbowe akiingia Bungeni?
Uko outdated dogo,hiyo ishu ilishakuwa cleared, kwa vile wewe unachojua ni kusifia tu na kurukia mambo usiyoyajua.
 
Uko outdated dogo,hiyo ishu ilishakuwa cleared, kwa vile wewe unachojua ni kusifia tu na kurukia mambo usiyoyajua.
Hata suala la uwanachama wao lilishamalizika na wanatambuliwa kiwa bado ni wanachama halali wa CHADEMA, wenye haki zote ikiwepo hii ya kugombea uwenyekiti wa chama Taifa
 

Wewe kweli hamnazo.

Hivi unajua Halima aliwekwa ndani na utawala hayawani wa CCM mara ngapi? Hizo sifa unazozitoa kwa Halima Mdee, ninyi wanafiki mmeziona baada ya yeye kuondoka CHADEMA? Kama CCM walikuwa wanajua Halima ana sifa hizo ulizozitaja, unadhani kwa nini Serikali ya chama hayawani cha CCM kilimweka jela kila mara Halima Mdee?

Ni kweli Halima Mdee kama walivyo watu wengi waliopo upinzani ana akili na alionekana ana hekima na uwezo wa kupambana na manyang'au ya CCM.

Lakini ndiyo hivyo tena, wanasema ndege mjanja huangukia kwenye tundu bovu. Mwishowe Halima uvumilivu ulimshinda, alishindwa kiyavumilia mateso na madhira ya shetani, akaamua kwenda kuungana na shetani mtesi wake ili asiendelee kuteseka.

Kitendo hicho cha kushindwa kuyavumilia mateso kwa sababu ya kile unachokisimamia, kimemwondolea kuaminika kwa umma na ndani ya chama. Fikiria Halima Mdee ndiye angekuwa alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, si tayari angekuwa amekwishaiuza CHADEMA kwa hawa hayawani mafisadi wa CCM wanaouza rasilimali za nchi yetu kwa wageni?

Hata iweje, Halima haiwezekani kwake tena kuja kuwa kiongozi mkuu wa chama chochote cha upinzani, labda chama hicho kiwe chama mamluki cha CCM, kama ilivyo ACT au vile vingine 13.

Umadhubuti wa Mbowe hata mbele ya mateso ya jela, kukubali kuteseka lakini bila kutetereka katika misimamo yake, na kuwakatalia kabisa malaghai ya CCM, kugoma kununuliwa yeye binafsi au kuiuza CHADEMA kwa CCM, ndivyo vitu vilivyomjengea kuaminika sana ndani ya chama, kiasi cha viongozi wenzake, na wanachama walio wengi kumtaka aendelee kukiongoza chama. Kuwa kiongozi ndani ya CHADEMA ni kujifanya sadaka, kuyakubali mateso ya kila aina, kitu ambacho siyo wengi wanaomudu.
 

Wewe ni punguani bingwa.

Tangu lini wabunge wa viti maalum husababisha kupatikana kwa ruzuku. Kama hulijui hata hili, jipige kifuani mara tatu, ukitamka kuwa, "mimi punguani mnafiki nisiyejua kitu" × 3.
 
Ni kwa sababu ananunulika na CCM mnahitaji watu kama hao. Halima hana tofauti na Zitto na wengine wanasiasa malaya malaya.
Heche kwangu mimi ndie chaguo sahihi baada ya Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…