Pre GE2025 Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama hujui, hujui tu. Ruzuku ipo kisheria CCM pia uipokea. Hao covod 19 waliingizwa bungeni kufuatia kura alizozipata Lissu kama mgombea Urais na ruzuku nayo ukokotolewa kwa msingi huo. Unnajielewa kichwani ni mtupu, husiwe unapenda kujidhalilisha, bora kaa kimya.
 
Kwanini mchukue Ruzuku wakati mlisema hamuutambui uchaguzi?
 
We PSKA wa Lumumba Acha kuleta ujinga humu. Halima siyo mwanachama wa CDM. Ndiyo maana nimekwambia kama unampenda Halima peleka poa. Bado yuko single..!
Mheshimiwa Mdee ni mwanachama halali wa CHADEMA mwenye haki zote za kikatiba ndani ya CHADEMA ikiwepo ya kugombea uwenyekiti wa chama.
 
Mheshimiwa Mdee ni mwanachama halali wa CHADEMA mwenye haki zote za kikatiba ndani ya CHADEMA ikiwepo ya kugombea uwenyekiti wa chama.

Acha upumbavu we PAKA wa Lumumba. Chama kilishafanya maamuzi, ni halali kwa CCM na Msajiri.
 
You may be right ndio maana kwenye hotuba yake mbowe alieleza hadharani kuumizwa na Halima Mdee akieleza amemuandaa kwa muda mrefu
 
Kama unampenda sana Mdee mtafutie Mwanaume amuoe maana anahangaika na usimbe.
 
Jf imekuwa jukwaa la udaku. Hii sio ile Jf ya great thinker niliyokuwa naijua. Kila time inavyokwenda wapumbavu wanaongezeka na werevu wanapungua. Na ndicho nachoona kwa Luca. Sio kwamba hatakiwi kuchangia humu, ni uhuru wake ila hata yeye anajua kabisa aandikacho ni tofauti na uhalisia na hapa ndipo Jf inapokuwa inapoteza mvuto
 
Tukumbushe namba yako ya simu tafadhali.
 
Wasaliti hao wakina Mdee ett Serikali Imewakingia Kifua kwenye Kesi Nchi Hii Hamna Haki
 
 
Mtu anaeweza kumpokea mbowe ni CAG kichere...yani anasema ukweli japo mengine anaficha,mwambie makonda aache kutumia pesa za serikali...nyambafuu
 
Nadhani mtu yeyote yule ambaye amewahi kukisaliti chama chake, hafai kuwa Mwenyekiti wa chama chochote kile. Nafasi hiyo huwa ni watu wenye karama maalum.

Mwenyekiti ni lazima awe na uwezo wa kuhimili hali ngumu na njema za maisha ya chama chake, na siyo kujibwaga mikononi mwa adui baada ya kupitishwa kwenye shida.

Na kwa aina ya siasa za Afrika, kwa chama cha upinzani, ni lazima Mwenyekiti wake awe na nguvu kidogo kiuchumi ili 'asinunulike' kwa chama tawala/ chama adui.

Ova
 
Lakini b… kumbuka kabla ya huo usaliti niliwahi kukuambia Halima ndio alifaa awe mwenyekiti baada ya Mbowe. Nafikiri ndio maana Mbowe aliumia sana kwa usaliti ule (mimi pia nikiwemo)

Kwa kigezo cha nguvu ya uchumi, ni nani anayeweza kuibeba mikoba ya Mbowe baada ya muda wake kwisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…