Pre GE2025 Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani akina Mdee si walitokana na uchaguzi ambao ninyi mlisema ni uchafuzi na kwamba hamuutambui?Sasa mlipokea na kuvuta Billion 2.7 za nini wakati mlikataa kuutambua? Au uchaguzi unakuwa huru tu pale Mbowe akiingia Bungeni?
Sijui kwanini mtu yoyote mwenye akili huko chadema lazima agombane na Mbowe hii inachosha Sana watatengeneza propaganda uchwara kumchafua mtu huyo mfano: Kaburu, Prof. Safari, Dr. Slaa, Halima Mdee, ina maana yeye Mbowe ni mungu hakosei this non sense

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Lucas Halima siyo mchaga. Hiyo ni SACCOS ya wachaga, mwulize Zitto na Sumaye walichoambulia baada ya kuonesha nia ya kutaka nafasi ya uenyekiti, watanzania wanaohangaika na CHADOMO ni hawajielewi
 
Mbowe amekifanya chama kuwa mali yake binafsi na kitega uchumi chake.
 
Sasa badala yake atampokea mwenyekiti wako🤔
 
Wapo wa kubeba mikoba b..., kama watatafutwa, watapatikana tu. Ni kutojipa tu wigo mdogo wa kuwafikiria. Ila wapo.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…