Leo nikiperuzi mitandaoni, nimeona taarifa ya aliekuwa mbunge wa Arusha mjini, bwana God bless Lema akisema Ile dhana inayojengwa kwamba wao walikimbilia nje ya nchi mwenyekiti Mbowe akabaki sio ya kweli...amesema mwenyekiti Mbowe pia alikimbilia Dubai...
Maana yake, wanaume wote mlikimbilia ughaibuni mkamwacha Halima Mdee hapa peke yake. Hivi, katika mazingira hayo, mlitaka Halima Mdee afanyeje?
Leo nimemwelewa Halima. Alichofanya ilikuwa lazima afanye ili hata basi upinzani ubakie. Kama asingefanya hivyo, chama kingekufa. Halima ni shujaa. Wanaume mmekimbia, yeye akabaki na wanawake wenzake.
Maamuzi aliyofanya yalikuwa sahihi kabisa, sasa nimemwelewa. Wanaume wote wamekimbia, mwanamke ni dhaifu ameachwa peke yake... mlitaka afanyeje?
Halafu bila haya na madevu yenu, mnamwita Halima msaliti, na wale wanawake mnawaita Covid-19, wakati sasa hivi mnagombania ruzuku zinazotokana nao... aibu kwenu, mkiongozwa na Lema. Acheni ufala.
Sharaut kwa Halima na wanawake 18!