Halima Mdee ndiye shujaa wa CHADEMA mpaka sasa. Bila yeye, CHADEMA ingekuwa haipo. Tumpe maua.

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Leo nikiperuzi mitandaoni, nimeona taarifa ya aliekuwa mbunge wa Arusha mjini, bwana God bless Lema akisema Ile dhana inayojengwa kwamba wao walikimbilia nje ya nchi mwenyekiti Mbowe akabaki sio ya kweli...amesema mwenyekiti Mbowe pia alikimbilia Dubai...

Maana yake, wanaume wote mlikimbilia ughaibuni mkamwacha Halima Mdee hapa peke yake. Hivi, katika mazingira hayo, mlitaka Halima Mdee afanyeje?

Leo nimemwelewa Halima. Alichofanya ilikuwa lazima afanye ili hata basi upinzani ubakie. Kama asingefanya hivyo, chama kingekufa. Halima ni shujaa. Wanaume mmekimbia, yeye akabaki na wanawake wenzake.

Maamuzi aliyofanya yalikuwa sahihi kabisa, sasa nimemwelewa. Wanaume wote wamekimbia, mwanamke ni dhaifu ameachwa peke yake... mlitaka afanyeje?

Halafu bila haya na madevu yenu, mnamwita Halima msaliti, na wale wanawake mnawaita Covid-19, wakati sasa hivi mnagombania ruzuku zinazotokana nao... aibu kwenu, mkiongozwa na Lema. Acheni ufala.

Sharaut kwa Halima na wanawake 18!
 
Halima hakuwa na sababu ya kukimbia maana alishapewa buyu la asali acheze nalo.
 
Naunga mkono hoja
Halima
Mdee ni
Chuma "Mzoea vya kunyonga vya kuchinja Haviwezi". Hongera Halima Mdee na Makamanda wote kwa kugomea wito wa kienyejienyeji
Just imagine...
Makamanda walioigharimia CHADEMA kwa machozi, jasho na damu, leo ni wakuitwa wasaliti? Karma Haitawaacha salama, itawatandika tu
P
 
Uchawi umeanza lini? Bora CHAWA kuliko MCHAWI
 
Takataka wewe Halima akimbie wakati alijifojia Ubunge.

Mbona Heche,Msigwa walibaki Sugu, na wengine wengi umemsahau Sakaya we ni matako kweli wewe.
 
Kuzubaa uuwawe,urubuniwe kwa nguvu,familia yako iwekwe hatarini na kudhalilishwa utu wako ndiyo tafsiri yako ya ushujaa?Merde!
 
Shujaa ni Mbowe, Mwamba asiyetikisika. Pamoja na kusingiziwa ugaidi,kufilisiwa uchumi wake Kwa sababu ya kuitetea Chadema bado kasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…