Halima Mdee punguza ulaghai, unadanganyaje umma kuwa akaunti za benki za wabunge waliofungwa zilikuwa na kiwango chini ya Tsh. Milioni 1?

Mtoa mada tafuta exposure ya mambo usipagawe na ubunge suala la pesa ni gumu sana, akisemacho mdee kinaweza kuwa na ukweli asilimia 100
 

Sasa unabisha?

Kama una proof ya balances zao weka screenshots hapa

Sio unatujazia server na suspicions zako bila proof zozote
 
Kwani kuna mwananchi aliyelazimishwa kutoa mchango? Isipokuwa mapenzi na mahaba kwa viongozi wetu na chama chetu ndicho kilichotuhamasisha tutoe michango kwa kujali hali za wenzetu kwa kipindi walichokuwa magereza, hivi ninyi watu wa CCM hii michango tumetoa sisi kwa hiyari na hakulazimishwa mtu lkn mbona nyie imewauma sana hakika nawaambia hii nchi sio ya kwenu kama ninyi majuha mnavyodhani.
 
Account ikifungwa posho na mishahara yao wanapokelea Dirishani ?
Wanasiasa wanawaonaga Watanzania wajinga sana
 
Mimi nimechanga na wala sijalazimishwa na mtu ni hiyari tu.. Hiyo elfu 1000 nilitoa kama mchangi kama inakuuma sana njoo gheto uchukue tena nitakupa zaidi ya elfu 1000...

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Mm pia nimechanga wala cjalazimishwa. Nimahaba tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama ni ulaghai mbona hujaweka ni kiasi gani kilikuwa kwenye hizo akaunti. Mwenye account kasema alikuwa ana pesa chini ya million, wewe unabisha bila ushahidi wowote. Kuwa na mshara mkubwa hsimaanishi kuwa Wana pesa nyingi bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…