Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika.
"Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni wabunge, tumeapa ni wawakilishi wa chama, hivyo tunaendelea na kazi zetu kama kawaida"
Pia soma > Nasubiria kuona kama Spika Tulia ataendelea kuwabeba wabunge 19 wasio na chama Bungeni