Atutajie Chama anachowakilisha! Maana mpaka leo kule CHADEMA hawajaona rufaa yao!
Amekuambia ni wawakilishi wa Chama gani? Unaweza kuwa unawakilisha hata tumbo lako ujue!!??Wanajuana na Wenye Saccos Yao hao 'Walicheza dili Vizuri' ...!
tumebaki Sie Makabwela Kutwa Kuwachafua kwa Kuwaita Covid 19... Tuna dhambi Sie.!
Mbona hajataja chama chao?
Kama unamtishia hataweza kuja.Ajitokeze kwenye kesi ya Mbowe huyu wakala wa chama,aone wafuasi wa hicho chama watamfanya nini.
Ni covid 19 haoWanajuana na Wenye Saccos Yao hao 'Walicheza dili Vizuri' ...!
tumebaki Sie Makabwela Kutwa Kuwachafua kwa Kuwaita Covid 19... Tuna dhambi Sie.!
Kama unamtishia hataweza kuja.
Hiki ndicho kitu cha fedheha kubwa katika karne yote ya 21 nchini mwetu. Yaani hawa watu hawastahili kuwa Bungeni period! Na tusingoje utabiri wa Nabii yeyote; Anayekumbatia uozo huu haijalishi awe CCM au CHADEMA etc ATALIPA KWA MACHOZI KAMA SI YEYE BASI NI WANAE AU WAJUKUU WAKE ! Maana Jinai haiozi.
Kinachonifanya nifuatilie siasa ni maumivu ya kodi ninayolipa.Ila CCM lakini dah, kuna wakati unapata hasira sana ukiwaza siasa zao unafika wakati unaamua ufanye yako tu.
Unaweza kujikuta unapata hasira unaamua kuvaa mabomu uwalipue wote .
Ni wawakilishi wa chama gani? Anaona hata aibu kukitaja
Vipi Hilo bakuli mnalotembeza Sasa umechangia ili upate maumivu na sababu ya kufuatilia kesi ya ugaidi?Kinachonifanya nifuatilie siasa ni maumivu ya kodi ninayolipa.